@mzeeshayo_: Ni kuwaza tu nimewaza wakuu, sio kwa ubaya🌚.

Mzee Shayo
Mzee Shayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 27 February 2025 15:56:58 GMT
71202
5721
130
637

Music

Download

Comments

sinomiles
Sino Miles :
Hii imeenda
2025-03-01 14:26:44
0
old.boe
FAKE LIFE :
hii sio content😅😅😅
2025-03-01 00:52:31
0
rynessfreddy
Ryns :
Well sayed babaa 🤣🤣🙌🏻
2025-02-28 20:15:04
0
cutehehe40
cutehehe :
Hiv kwaresma inaanza tar ngapi?
2025-02-28 05:54:44
5
brigithasalim
princess B :
ila kwel asilimia 98 ni unafkiiii🤣🤣🤣 mtu ana mke na michepuko wa3 ramadhan anajifanya anafungaa an uku mtaan ni laana sumakaa tuuup
2025-02-27 19:05:31
14
nanah55582
Nanah♥️💋 :
Wacha kesho na keshokutwaa nikamnadi shetwaniii mara ya mwishooo😅😅😅
2025-02-27 16:18:08
6
user9468223611281
user9468223611281 :
UMEHUBIRI GOSPEL KWA NJIA YA COMEDY.GOD BLESS YOU SIR👍👍
2025-02-28 19:45:56
13
affinaturetours
Aidan&Affinature Tours :
Shayo kuna hawa wa kitambaa ya Mbagala, wale wachûwe kwanza kabla ya kuchomwa 😂
2025-02-27 16:32:45
6
annacris442
Annie :
kunywa pepsi mzee shayo 😂😂😂😂
2025-02-27 19:59:17
9
freyzoh0
freyzoh :
wew na neema kidoti ni ndugu
2025-02-28 20:27:54
2
vera67523
Vera :
wako busy wanaokota Kuni.... hahahaha
2025-02-27 16:49:12
4
beatymushi
jolly pretty :
tarehe 5mwezi wa tatuu
2025-02-28 15:54:31
2
debra.qamara
debra qamara :
kwel kinakuja kipind cha kuwaona wanafki
2025-02-28 05:02:46
2
abdulkareem96bentably
Kareem All Izz Well :
ni ukweli mtu usiopingika
2025-02-28 11:43:33
1
silyviashirima
silyviashirima :
Ramadhani no Ramazani😂😂😂
2025-02-28 05:36:11
1
mcmamaafrica1
rehemasikawa :
kweli tupu😂
2025-02-28 04:56:59
1
mr.king_mchome
Mr.King👑 :
Daaaah 😀😀
2025-02-28 04:53:17
1
user2807120113383
dreck dreck :
kwanjaa yangu inauma saa1 asubuh ntaweza kufunga kweli 😆😆
2025-02-28 04:39:41
1
shine.garden4
Shine Garden :
l love you ukweli usio pingika
2025-02-28 04:10:39
1
sharifasleem
user8131873994931 :
hahahaha
2025-02-27 21:21:09
1
agness__felix
agness__Felix :
😂😂😂😂😂😂ukweli mchungu
2025-02-27 20:59:31
1
massawejm2
massawejm2 :
kabisaaaa 😂😂😂😂
2025-02-27 19:54:01
1
mpinamagongo271
Mpina Magongo🤣🤣 :
Kila mtu msamalia mda huo
2025-02-27 18:52:13
1
peter.malisa5
Peter Malisa :
ni fact kabisa
2025-02-27 18:49:10
1
major_tz02
Major :
shayo utaviziwa sehemu upigwe mawee 😂😂😂
2025-02-27 18:45:32
1
To see more videos from user @mzeeshayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About