@finance_talk6: ZINGATIA 1:Start small 2:Drem big 3:elf kumi yako leo inaweza kununua hisa pia #daressalaamhisa #DSE #masokoyahisa #hisakiganjani #tiktokkenya #tiktoktanzania

Hussein and Finance
Hussein and Finance
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 28 February 2025 15:36:34 GMT
33022
746
47
133

Music

Download

Comments

calvin.saria
chief :
Nataman kununua san hisa sema cjui namna ya kuzinunua unaweza nijuza
2025-03-01 11:41:20
2
endreww001
endreww001 :
yani ndani ya mwaka 1 hisa zimepanda kwa 150% crdb hii hii au sio 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 basi sawa
2025-03-01 04:25:16
5
revoh_254
Revoh :
Hii imekaaje mkuu
2025-02-28 16:55:22
1
williammunis
MUNISI JR. :
duh wanakamati wameua 😳
2025-03-01 02:36:56
1
_innocence101
tessly 🍷 :
Hii ndio zawadi ss🤩
2025-02-28 18:48:20
1
msmbonea
Dada Daktari :
Waoh
2025-02-28 20:54:25
0
nayuby_cosmeticstz
Nayuby :
zawadi ya peke yake hiyo🤣🤣🤣🤣 kamati wajanja
2025-02-28 21:04:39
0
bigela00
Life with Ela :
😍😍😍
2025-02-28 23:31:02
0
infotainmentabu
Abu :
Safi sana.
2025-03-01 01:56:55
0
jojo_latte
𝒥ℴ𝒿ℴ𝓁𝒶𝓉𝓉ℯ ᥫ᭡. :
Kamatii 🔥🔥😂😂
2025-02-28 17:21:26
0
shebbymaeda
shebby :
Kwa hivyo, ongezeko la thamani ya hisa ndani ya mwaka ni takribani *56.26%* . hili ongezeko lipo kwle
2025-03-01 10:39:55
0
its_isha32
its_isha@ :
hii ndo kamati sasa😂😂@Dee2🦋🪽..
2025-02-28 17:19:09
0
thedricg92
Thedricq bin William :
unahamasisha ila hapo umedanganya au mimi sijakuelewa toka 47M to 73.44M within a year
2025-03-05 16:32:39
0
user29692174618750
Mariam kamangu :
wow
2025-03-06 11:54:51
0
being_ney21
being_ney21 :
Naomba elimu kuusu hisa mkuu nlkuja dm nkaona kmya🥹🥹
2025-03-20 13:34:00
0
enjinia_chacha
Enjinia™ :
😂😂😂
2025-02-28 16:09:16
0
To see more videos from user @finance_talk6, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About