@theislamicdawah...0: Tangazo La Mwezi Wa Ramadhan 1446AH | @SheikhJamaludinOsman | @Jamia Mosque Nairobi Kenya 🇰🇪 #islamic_video #sheikhjamaludinosman #foryou #islamic #Ramadan1446AH
its very sad to see such a high ranking person. going against khadi n sharia.been told every country should follow his khadi's fanel words.nor does any one 1 in kenya has seen moon
2025-02-28 20:45:50
3
Muslimah_ke :
hata saudi walisema mske sure you sight moon in your country or region.. anyway when jamia, was taken over by the pple who used to stay in 680hotel everything changed. thy dont follow c kadhi. 72 sect
2025-02-28 20:28:32
1
Abdulwahid M Hasanali :
why is sudia why Qatar we are in Africa not Qatar not sodium all these are puppets of Saudi Arabia
2025-02-28 19:44:03
0
Imran ahmed :
I thought makaah refused us to follow them Wats the sunnah behind this
2025-02-28 18:05:16
2
serampai :
I’m in angola.when start 1st ramadan here.
2025-02-28 20:24:25
0
Yusuf Hazara Ebrahim :
God knows best ... E
2025-02-28 20:10:04
0
Muslimah_ke :
Even TZ did not sight moon
2025-02-28 20:29:20
0
Czarny Polak :
Team Kadhi sisi mpka Kadhi aseme. Lazma kiongozi apewe Heshma yako.
2025-02-28 19:29:17
11
Suleiman :
Hamtaki kufunga mwezi wa ramadani, Lakini idul fitri ni wakwanza kuiddi ni nyinyi.
2025-02-28 19:11:34
8
lamin :
muliona wapi mwezi
2025-02-28 18:24:03
5
ysnbkr :
heshimu rai za wenzako kama hufungi nyamaza subiri mpka siku unayoona bora kwako ufunge
2025-02-28 18:42:47
6
mwibrania mkenya :
taqabala LLAHU MINAA WA MINKUM
2025-02-28 17:35:36
6
Sheikh.Muhammad.yunus :
nyinyi ndio munaofitinisha waislamu na inshalah kesho mutalipa munaowatendea vipi mufti wa saudia asema tusitwate mwezi wao naww wawafungisha watu kufuata saudia sio haki lakini kwa mungu simbali insh
2025-02-28 19:09:50
4
Sheikh.Muhammad.yunus :
kwahyo kazi Hana majukumu yyte ikiwa wwe tu waweza kuutangaza mwezi mutaulizwa kesho mbele ya Allah kuweni makini na maamuzi yenu
2025-02-28 19:11:41
2
bazino :
nyinyi muendelee kufurahisha kiongozi badala ya Allah. sijui mnakaa aje nyinyi watu
2025-02-28 21:00:22
2
Sada001 :
suudia ni walokua saudia
2025-02-28 19:05:07
1
Twariqa Lady :
mumeona wapi.mwezi dah subhanallah
2025-02-28 19:01:54
1
popo sule :
mbona mi nko saudi na huku waanza kufunga jumapili inshallah🥺
2025-02-28 22:11:14
0
user2501467550861 :
hadith yasema angalieni mwezi kwa pale mnaishi.Sio pahali pengine.Nyinyi mwaleta dini zenu.Ramadhan ni Sunday si kesho
2025-02-28 20:38:26
0
Ramla Mohamed :
sisi ni watu wa khadi
2025-02-28 22:07:41
1
Leswa :
sehemu mbali mbali ni gani hizo? Mmeamua kuanza kufunga msipotoshe wengine
2025-02-28 18:38:03
2
Muna :
Ramadan Mubarak.
Allahumma ameen.
2025-02-28 18:25:53
2
Omar. :
TaQbiir☝️
2025-02-28 19:38:17
1
shamsaabdalla1 :
Oman na Qatar ni miji mengine, waking ni sawa, lkn kwetu bado kuona. East Africa bado kuona, je wewe uliona mwezi wapi? una hakika
2025-02-28 23:55:22
0
N.nms :
Saudia na Oman Wana weza kufunga na mwezi wa Kenya? mm nafwata kiongozi wangu nae ni chief kadhi
2025-02-28 23:54:04
0
To see more videos from user @theislamicdawah...0, please go to the Tikwm
homepage.