@kwa.raha.zetu: Leyla Rashid Langu Rohoni #leylarashid #langurohoni #jahazimoderntaarab #kwarahazetu #kwarahazetutaarabchalllenge #haloooooooooooooooooo #mirindimoyapwani #mpasho #pambeeee #taarablyrics #taarabtiktok #taarabu #taarabu #taarabtiktok #leylarashid #leylarashid
Kwa raha zetu
Region: TZ
Saturday 01 March 2025 14:24:24 GMT
Music
Download
Comments
Heart broken💔 :
Si kama siwezi kusema naweza mpk kukesha , Naziepuka lawama zingine zinakondeshaaa. Aso cheka ma mii mie ntacheka nae mwenye hasama na mii ntakaa mbali nae ugomvi siwezi mie bora nimpotezeeeee 🥰🥰🥰🥰.... kipande kizito sana hichi
2025-03-01 19:36:30
86
cemre💕🪷 :
hii taarab namkumbukaga shangaz angu kwa mtlrombo arusha jmn😂😂🙌
2025-04-03 09:07:24
5
kishki :
mwenye uhasama na mm nakula nae sahani moja mpaka aseme😂😂
2025-03-06 11:13:01
7
✨️Sabra Claude 🤎✌️ :
😂😂😂nmemkumbuka ex alikua anapenda taarabu fulu kuniimbia 🤣
2025-03-23 19:38:05
5
God's Bae 🇻🇦🦚🌸 :
Sema Hawa wa mama hua hawazeekii
2025-03-12 08:54:09
2
Ziya rara :
😂😂dah wengn hatuelew kabisa hizi
2025-04-03 08:39:54
1
🖤 :
mwenye gauni ya chuichui😂
2025-03-08 16:03:53
4
uwamahoro shadia :
langu.rohoni💓💓💓💓💓💓💓💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞♥️♥️♥️♥️♥️♥️🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
2025-03-29 15:55:55
0
somo :
😂💞💞sawa 💞💞💞
2025-04-06 14:45:20
2
user74934400071593 :
mwenyevgauni ya chui chui nyeusi mweye nyonyo kubwa huyo huwa anaitwa nani jmn plz
2025-04-16 04:24:11
1
flora tairo :
achia nyonyoo
2025-03-03 20:40:46
10
Babe_Eyes :
Majungu on point halooo 😂👌
2025-03-16 15:14:42
3
Narsis Mkirema :
kukaa kimya jibu la mjingaaa🥰🥰
2025-04-14 18:19:38
1
Therealkevootz7🇹🇿 :
taarabu zilifia wapi
2025-03-02 12:26:29
8
Tatu :
Kabisa
2025-04-23 20:18:26
2
Steve Adams 🩵🩷 :
jahazi wenye tarabu yaoo 😊😊
2025-03-01 15:47:40
7
Big baby🦋 :
Leyla😍😍
2025-03-04 08:13:49
4
Sonia wa Macar :
santa.......tambariza
2025-03-01 15:03:55
7
💀 COLD HEART :
walee wazee wezangu wa traventine hotel magomeni msiokosa show 😁😁😁😁
2025-04-02 19:30:28
2
veer dhaheer :
enzi hizo jahazi jahazi kweli kweli sio saivi🥱🥱🥱🥱
2025-03-05 18:07:35
4
JJOdongo :
sasa Queen wa mipasho uko wapi asante Ritah umerudisha taarab sasaaa mzee Yusuf wapiiii
2025-04-04 15:57:10
2
marish660 :
kukaa kimya jibu la mjinga
2025-04-04 15:27:56
2
kinyika og :
ila taaalabu kunaga bwana😁😁😁😁😁
2025-03-15 02:23:10
2
Amsuzanne💕 :
kwa laha zetu eeeeeeeeee👌👌👌👌👌
2025-03-03 11:31:16
3
🧕⭐️🤑(لٓطِيفٓة) :
taarab yangu pendwa💃💃💃
2025-03-01 19:11:43
3
To see more videos from user @kwa.raha.zetu, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.