@emmanuely136: #fashion #trendingvideo #kenyantiktok🇰🇪 #kenyancomedy #tanzaniatiktok #tanzania #fpy #fpyシ #fpyツ #fppppppppppppppppppp

EMMANUEL 💥
EMMANUEL 💥
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 March 2025 10:20:38 GMT
393093
25497
2423
1405

Music

Download

Comments

krishnayusuph3
krishna_yusuph :
Tunaosema atuoi single mother like hapa🤣🤣
2025-03-02 19:06:14
965
leticiauser6962909628528
Leticia :
mtaoa mama malehem wanao toa mimba
2025-03-02 18:56:52
11
majaliwastephano64
majaliwastephano :
wape wape ao single mama masheta uliwe na nani aje akuowe nani ushatumika huko ushawah ona vocha inatumika mala😁😄 mbili
2025-04-27 06:53:02
2
chumbxayul4
Liana :
na nyie wanaume mnao pachika wasichana wa wenyewe mimba yafaa mstyle up kumbavu zenu
2025-04-20 10:13:33
1
user6513361598393
Raisi wamachizy :
kweli blood awajasema😄
2025-05-05 11:17:50
0
jonathanirwegelela
Jay HALISI :
Ety oh wanaume waongo wanatulubuni!! ety wana maneno ya kilagai!! uwongo mwanaume akikwambia maneno matam kwamba kula mavi unaweza ukala?? acha umalay
2025-04-01 11:39:24
0
user8216105581395
toxic :
atuoi single mother😂😂
2025-04-22 19:12:12
0
usernouah
Nouah-KE :
Elimu tuna zipata kaka..nafurahia kazi yako
2025-04-28 05:22:35
0
makenamaya21
MAKENA OFFICIAL ❤️💞 :
Single mothers hatuolewi,, nasi izo nyumba zenu, hamtawai kuwa na amani🤣nmeeda🏃🏃
2025-03-03 18:07:25
0
startnow652
Ben Lashes & Nails Studio :
bro hataivo wakushukuru sana umeishia kwa single mother tu ilibidi tuoe mabikra tu 😂
2025-03-04 12:53:06
0
kallcjofficial
GHETTO YOUTH PRESIDENT :
kwelii
2025-04-27 09:32:39
0
xrocmaddy4
Maddy :
kama hauna kazi unatafuta sifa uku tiktok kuja nikupee na uniruke nikuwe single mother ala😂😂😂😂
2025-03-26 12:54:27
0
faustinpaluku655
Faustin palukufaustin577@gmail :
Kauli ni ile ile hapa Kongo hatuowi msichana mwenye Mutoto huyo ni Muke wa Mutu
2025-05-25 16:35:14
0
shukuranikavira40
Déborah kavira :
matayako mbana mimi ni chaolewa🥵🥵🥵🥵
2025-04-01 21:52:16
0
ozilsteve
papy chulo :
na pua kama gumbut
2025-03-26 02:41:11
0
user9408117763794
philex ojiambo Gaddafi :
na imagine jana alikua anapraize wimbo za mungu 🤣🤣🤣🤣
2025-04-09 04:08:02
0
bwana.maraha
bwana maraha :
uko sahihi kabisa
2025-04-06 12:46:14
0
obwolo001
samo001 :
kweli🤣🤣🤣🤣🤣
2025-04-11 10:34:08
0
user3396253606181
Divia masika :
unaishi Wap kwani
2025-07-07 14:03:18
0
mwanaisha2004
Mwana艾莎布鲁纳🇺🇲 :
anayosema ni kweli ingawa inatuuma jamani😂
2025-03-02 19:21:31
230
bonimiles
Boni Miles :
bro wacha maneno mengi bana hatuoi single mothers..
2025-03-02 21:43:30
229
salimkiwamba
Salim Kiwamba. :
mwenyekiti ameshasema mimi nibishe nani.😂😂😂
2025-03-02 11:05:52
82
princess.emmy94
princess Emmy :
sijui n block ju naumia na video zake aki😩💔🤣 kichwa kama ya komba mwiko🤣🤣🤣
2025-03-02 21:25:07
68
tadash003
🅣🅐🅓🅐🅢🅗🅘 :
Hii vita ndio kwanzaaaa mpyaaa😳😳😳😂🤣🤣
2025-03-02 10:49:22
58
maruzuka.ally
maruzuka ally :
sura yake sasa kama njugu mawe😏😏😏
2025-03-02 15:13:02
42
mc_abura
Kenyan_Gotti 🇰🇪 :
DEM anakukataa ati wewe Sio type yake akipata type yake akimzalisha amtoroke anakuja kwako eti umpende Na mtoto wake...😂😂😂
2025-03-02 10:38:15
38
ochieng350
Ndizi mbichi 🪖🪖 :
single mother ni mwenye alifiwa hawa wengine ni majambazi
2025-03-05 19:06:53
29
marcosulley
marcosulley :
Hiyo kiki imebaki wiki moja tafuta agenda kwani mimba si tunawapa sisi aiu wanatengeneza wenyewe. Heshimu wadogo zetu wewe kama huoi wengine tunataka
2025-03-02 18:11:33
20
dee..khadijah
Divannah😍😘 :
Na sizai na sigawi 😂😂😂🙌
2025-03-02 20:18:41
17
shinjemalimi
Shinje Malimi :
mm naowa na niko nae hapa nakula mzigo
2025-03-02 19:40:00
15
photogenicgrapher1
Photogenic Grapher :
single mother nawapenda
2025-03-02 18:02:38
15
benta.bitutu
Benta Bitutu :
imetosha jameni, we're sorry
2025-03-03 08:16:48
14
user9813839117965
p🦋💞 :
nyie wenyewe ndo mnatupatia mimba nakutukimbia afu nyie wenyewe ndo mnachongoa midomo mtalaaniwa sana ndomaana mambo yenu ayaend
2025-03-03 18:34:21
12
betty.moraa45
Betty moraa :
hatuoi single father period
2025-03-02 23:43:26
12
mcmrticha
Mc Mr Ticha🎤💉 :
HATUTACHOKA KUPAMBANIA HII INJILI🔥🔥🔥
2025-03-02 11:05:24
12
itshassani03
it's Hassani🌏 :
wambie bro😂
2025-03-03 06:36:25
11
cafideh230
cafdeh❤💝💘 :
aki walai utafanya tujiue😂😂
2025-03-04 10:38:53
11
ayoubgasper
Ayoub Gasper :
msimamo uko palepale
2025-03-03 10:38:55
10
gideonamos765
LG :
hatuoi single mother hata na dawa🤣🤣🤣
2025-03-02 20:23:13
10
kymlinja.co
user5992445692624 :
ongeza nyundo bado wanatikisa miguu
2025-03-02 12:44:07
9
de.new.soldier
De new soldier :
Big up brother
2025-03-02 10:23:44
9
halima.yusuph2
HALIMA.YUSUPH🥦♥️ :
mbona kina siwa na mwadawa bado wapo kwa Mzee kikala😔😔
2025-03-02 11:10:13
9
momrody1
trisher saloon & Collection👗 :
subir usababishe vifooo vya gafla🤣namagonjwa ya presha kwa watuuuu🤣🤣🤣🤣ankoli ankoli 🤣
2025-03-02 10:27:13
9
mvule6
Steve 🇹🇿 :
sasa unazalisha mwanamke baadae anakuletea makelele ndan mda ote maugomviii mzeee ata wewe utakaaa apo
2025-03-02 10:37:43
8
user6683125542439
Estera Mwesh :
wasema nini wewe na mtoto wako atakua single mother tena wa watoto kumi,,, oya,,kama nasema kweli weka like ukipita,,,,
2025-03-02 19:06:02
9
jackisonmasunga
jackisonmasunga :
😁😁😁😁😁waambie Mzee hakuna kuoa😁😁😁
2025-03-02 11:07:22
7
msush254
mzush :
brooo nilidhani waongea matani nikaoa single mother yani mmi nampea fea aende kuona mamake n mgonjwa kumbe anaenda kwa aliezaaa nae,ngoja nilie😭😭😭
2025-03-03 11:57:12
7
user80280461786567
علي صيدي مكوكة :
Sasa wanawake wenye bwana zao walikufa pia utasema ni malaya???
2025-03-03 07:38:32
6
richard12842
Rich Icon :
sasa wanatuuzia namimba tulee kweli 😃😄😄😄
2025-03-02 10:26:27
6
brian_.black
Brian Black :
wasafi TV hawataki kukualika sababu utaongea ukweli 🥰😂😂😂
2025-03-02 11:09:48
6
vf20198
V smn :
Hata nyumbn hatupo tushatoka 😂😂😂
2025-03-02 11:02:46
6
goldenleestrendz
goldenleestrendz :
Kumbe niendelee kujishikilia 🤣🤣🤣
2025-03-03 16:14:17
6
user3770446660727
Aisha :
polee sana maana huna jipya kila cku neno moja 😂😂😂 polee weee mti wenye matunda daima ndo upigwa mawe 😂😂😂
2025-03-08 20:13:58
6
antidiusaudac
KAMANDA 💪 :
sioe single mother
2025-03-02 11:34:45
5
khadija.ramaa
Khadija Ramaa :
hatujambo😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-03-08 01:44:33
5
shakebeforeuse0
VOMO TV :
yaani dogo wanawake wengi ni malaya sana, juzi kazini niliwaambia hatuowi single maza yaani walinishambulia sana nilijua kumbe wanawake wengi ni malaya, ukiona wamepaniki ujue imewagusa mpaka wanyooke
2025-03-05 04:24:39
5
glorytimothy2
Glorious🍭 :
Inauma lakin ni kweli😂😂
2025-03-30 14:20:57
5
user7372155901521
Qyuine Emy🍒.. :
Wazazi mnao ishi kwa wazazi wenu MAMBO🤣
2025-03-05 13:54:58
5
hellymashoto0
Helly mashoto :
Bado wanapumua piga RUNGU LA UTOSINI 😂😂😂
2025-03-02 20:48:17
4
user3804751297213
blaise Lionel :
wewe ndo kiboko yao
2025-03-02 12:36:37
4
user9043813817509
Debby cute🥰 :
kachane nywele
2025-03-03 07:26:17
4
sailo.sailas.simiy
sailo sailas simiyu namachanja :
that is truth my brother tell them🤪🤪🤪🤪
2025-03-09 07:34:45
4
midiragraphics
Midira graphics :
single mother hatuoi
2025-03-02 10:46:39
4
mtatiropastory
[email protected] :
unafaa kuwa katibu mshauli kwenye kikooo kikaooo kijacho tunakuchagua katibu mshauli
2025-03-03 05:58:47
4
loftez.king
LOFTEZ KING 254 :
single mothers typing and deleting.....
2025-03-06 08:02:50
4
mwashlaxap
𝓟𝓪𝓽𝓸𝓸 :
kauli ni ile ile hatuoiiii single mother 😂😂😂😂😂😂
2025-03-02 20:20:26
4
To see more videos from user @emmanuely136, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About