@insideoutz__: MASTER JAY ANASEMA HAKUNA MSANII MWENYE UWEZO WA KIANDIKA VIZURI NYIMBO ZA KISWAHILI! KUMPITA ZUCHU! @officialzuchu The Legend Producer wa Tanzania Master Jay anaielezea nafasi ya Zuchu Ni ipi kwenye Game ya Bongoflava Ni kweli hakuna wa kumfikia Zuchu likija swala la uandishi wa mashairi bora ya nyimbo za Kiswahili? #zuchu #masterjay #swahili #bongoflava #tiktoktanzania #tiktokkenya🇰🇪 #insideoutz

INSIDEOUT TANZANIA
INSIDEOUT TANZANIA
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 March 2025 11:25:57 GMT
128513
6597
365
82

Music

Download

Comments

iammarkyalbert
Ms. Marky ❤️ :
kwenye kuandika sawa ila kwa kuimba BIG NO sauti yake inahitaji mazoezi sana na ukiona msanii anahitaji zoezi sana la vocal ujue sio talented
2025-03-02 12:39:09
5
kijiweni6
kijiweni :
ila mwanamziki bora wa tanzania nandy
2025-03-02 14:53:47
20
faveake
pinah :
napenda kumsikia mtu akimsemea zuchu mazuri😂
2025-03-02 14:16:25
316
chic.montana
Chic Montana :
I swear nothing will ever make me hate that girl (Zuchu)she was born a star and she'll forever be💪
2025-03-02 15:38:37
96
user9962816761979
Faudhia kandulu :
Uyo nandy anaandikiwa
2025-03-02 17:40:56
23
fortunatamfinanga
fortunatamfinanga :
Tatizo watu wakiambiwa ukweliii wananunaa🤣🤣🤣🤣
2025-03-02 13:46:22
44
ashay760
ashay :
mpaka kaka kamkubali basi kipaji kipo kweli🥰
2025-06-25 20:37:03
5
unclesam751
Uncle Sam 😜 :
Namkubali sanaa
2025-06-06 06:20:28
5
jumanneally1
Jumanne Ally661 :
Me too I like everything about Zuchu
2025-03-02 16:21:33
26
henry2nyi
Henry :
very true
2025-03-02 11:51:01
18
maryiraki7
maryiraki7 :
Zuchu is a genuine individual, dedicated and skilled. She inspires my daughters greatly.
2025-03-02 20:59:04
6
giftedsonm
Gifted :
ile nyimbo ya RAHA ule mwandiko muke ndani ni balaa🔥
2025-03-02 15:15:20
11
manziwakauma0
Kaumafinest😘 :
i second you, Zuchu all the way, my favourite celebrity ❤️❤️
2025-03-02 16:45:34
38
marierossy3
Marierossie :
very trueeeee
2025-03-02 15:41:22
6
ynt_aura
AURA :
true kabisaa...alafu trace wanampa sijui nandy tuzo ..wanachekesha sana...zuchu forever🩷🩷chuki hazimtishi
2025-03-02 16:22:51
16
blessing.mwamba8
Blaise Pascal 🥰🥰🥰 :
ni kweli kabisa 🥰💯💯
2025-03-02 13:25:26
8
sifaelibariki
siffah🥰 :
ongeeni binukeni ila ss Tinamjua mmoja2 ni Nandy the African princess 👸 💖 😍
2025-03-02 19:57:35
5
user6281584579210
minah :
kama unampenda zuchu gonga like❤️❤️
2025-04-05 12:04:02
8
bestoff5214
milano :
naunga mkono hoja Zuchu ni 🔥🔥🔥🔥🔥
2025-09-07 16:20:52
2
lisafestie
🦋Lisa🦋 :
ntakuja muongee mazur ya nandy sku akiach kuimb alikuepo vanesa saiv alivyo acha kuimb ndo mnajfany mlikua mnampend mnataman alud kwer watu hawajui ku appreciate
2025-03-03 10:16:23
1
.babra7
🥰 babra❤️ :
Zuchu n zuchu kweli
2025-04-07 09:50:48
4
chann328
user2359616594086 :
🥰🥰💐Kaka M
2025-07-08 15:25:00
1
malindimassagetherapist
fania bebz :
kabsaa she is gud
2025-04-30 07:55:49
4
inessdiomande
Iness Diomande ♻️ :
Moi personnellement j’ai aimé le bongo fleva et le swahili grâce à zuchu ❤️
2025-03-02 16:09:57
4
ally.kenya0
Ally Kenya :
zuh ni noumah sanaaaaa
2025-03-03 12:14:18
3
To see more videos from user @insideoutz__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About