@wazolicious: Moyo 🧡 Wanambia Kirungi Sasa Mapenzi Basi 💔😂 Mbosso Akiperform Live 🎙 Sikomi Ya Diamond Platinumz With Sweet Melodies 🙌💯😍 #sikomi #mbosochallenge #mbosso #wasafi #wasafitv #wasafimedia #kenyantiktok🇰🇪 #kenyantiktok #tanzaniatiktok #tanzania🇹🇿 #tanzania #nairobitiktokers #nairobikenya #nairobitiktokers🇰🇪 #nairobitiktok #zanzibartiktokers #bongofuntiktokers #bongo#bongotrending #mombasatiktokers #mombasatiktokers🌴 #kenyansinqatar🇶🇦🇶🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyansinsaudia🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪 #kenyansingulf #fyy #oldisgold #videolyrics @Official Jamu Videos @JaMuu

wazolicious
wazolicious
Open In TikTok:
Region: KE
Sunday 02 March 2025 12:20:44 GMT
2397300
180205
1457
3785

Music

Download

Comments

david.yusuph2
David Yusuph :
leo ndo nagundua mondi hii nyimbo kaandikiwa na mbosso
2025-03-04 05:24:11
90
sammybrown2120
sammybrown2120 :
huu wimbo kama ulikua wa mbosso ila kamuandikia diamond
2025-03-02 13:00:31
250
haustin
@Austine :
he did it well more than 🤣☺️
2025-08-19 12:44:13
0
12simiyu
simiyu :
Bien haezi fikia mbosso kupiga live singing period😍😍🤭
2025-03-02 13:05:38
1414
thomasvonjonathan
Thomas Jonathan :
only Simba can perform this song perfectly 😀
2025-03-03 03:17:46
15
davito597
Davito :
watanzania mtupee mboso tuwapee wakisii Lori mbili😏😏😏
2025-08-16 21:37:46
1
dramanecoulibaly497
John❤️ :
Diamond Platnumz -Sikomi ❤️🥰
2025-03-02 22:16:19
139
linda.thobekile
Linda Thobekile :
l didn't understand anything but l love the guy 😢
2025-03-13 17:59:23
16
haustin
@Austine :
only Indah can beat Mbosho
2025-08-19 12:45:01
0
jux_vtn
medy_tz. chagga❤️ :
NANI YUPO TAYARI KUOLEWA NA MIMI?🥰
2025-04-03 20:43:03
3
fancysalon001
Fancysalon :
saa huyu ndio anataka challenge bien just listen vile anahema
2025-03-08 05:47:25
6
user8807767402775kmesh
𝑀𝑒𝑠ℎ Mesh :
mnasema ooh mbosso ohh Bien mnajua indah😆
2025-05-12 20:11:24
95
king.tyro5
king tyro :
nyinyi mnasema mboso na bien mnajua chameleon
2025-03-04 08:22:06
417
user08gm
user08 :
nataka kuona face reaction ya diamond akimskiza mbosso kwa hii o my godddddddd
2025-03-10 16:18:22
11
regina.mmbaga
regina mmbaga :
kama unampenda uyujamaaaa usininyime like mwenzako
2025-05-20 06:25:46
12
transcribe_with_mathew
Mathew :
Lakini this guy performs Diamond’s songs better than Diamond does
2025-05-07 14:28:01
4
chuganita8
anita8 :
mbosso na kutaka toka Congo Njo tuowane 🤣🤣🤣
2025-03-02 15:54:03
14
user5255408883875
paulo mkaTOliki 254 :
nlijua tu Mondi kaandikiwa hili goma na mbwana kilungi
2025-03-03 09:27:53
60
yurubtii
sadia john 254 :
huyu ndio mnasema huyu ata poze amemshinda sembuse bien
2025-03-08 06:43:13
13
plain_nilote
𝗖𝗵𝗮𝗹𝗸𝗠𝗮𝗻🎱™️ :
Kama umeona khalif kairo nipee like😂
2025-03-08 05:10:04
19
asam.delarue
Asam jaUyundo :
Mnasema mboso na Bien Kwa live performance mnajua Odongo swag kweli😂😂
2025-05-18 19:06:31
12
djembabouy006
djembabouy 006 :
eti kuna wenye wanasema mboso hàmfikii bien kwa live band..mbona mboso hakupewa award ikapewa bien??
2025-03-03 07:14:17
54
kadima1444
kadima :
Hey Kenyans,ni mimi tu naskia Sauti ya professor Hamo?🤣🤣
2025-03-07 10:04:27
121
briancooper098
Tea Cooper :
Mbosso king from Yamoto Band🏆 Bien king. from sauti sol🏆 kings don't compete they are both good at personal level.... I love them both💜
2025-03-08 07:49:13
399
leakey1300
Masuu 254🤣💪 :
mwenye alifunza Harmonize Ile style ya kuvunjika mguu akidance inafaa ashikwe😂😂
2025-03-02 19:55:38
100
To see more videos from user @wazolicious, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About