second year mbna mbali first year semester ya pili 😪
2025-03-02 15:43:41
10
Emmanuel Marwa :
wafamasia ndio tunaelewa hilo
2025-03-02 20:06:28
131
Ulongo Upela :
Kozi zote za Afya kwa ujumla ni ngumu na lazima mtihani wa leseni,kusap ni kawaida
2025-03-02 17:48:24
23
j.adiiii :
hivi cognos ninyi mnaitumia wapi jamani.. au ilikuwa mateso tu ya bure😂😂😂
2025-03-02 16:48:58
34
side968 :
iv unaijua medical lab 🙏fatilia utanshukur
2025-03-02 17:25:46
24
🧠 :
kumbe unaelewa brother,
yan me niko 3rd year lakn nishachoka baraa
2025-03-02 17:02:58
7
Joe_kasiane :
Watu wa Animal Health and Production tusemeje aisee😆😆😆😆
2025-03-06 09:20:25
5
Tz :
Haya wafamasia tujuane
2025-03-07 20:58:05
8
neylannaylan610gmail.com :
huuuuuu hujakosea jmnii😂😂😂😂😂leseni sasa😂😂😂😂
2025-03-04 10:36:02
2
t.r.i.m :
me sitaki kusema maana sap mara nne😂😂😂😂 sio poa
2025-03-03 10:38:52
5
brinnah| Pharm tech :
mwaka wa pili ni mbali sana second semester mwaka wa kwanza hio ya diploma unaweza acha ukatulie kwanza nyumbani ukijikaza mwaka wapili hio pharmacology unalia mwenyewe na maji Chini ya miguu uslale🙌
2025-03-02 18:58:04
23
TMM :
aaa pharmacy shikamoo ile inakufanya usome bila kupenda chuoni
2025-03-03 08:50:40
6
Eddychromz🥰❤️ :
lessen unafanya bado uko under 18 mpaka unafika umri wa kutoa laana hujaipata aweeee pharmacy shkamooo😂😂