@fatma_shockat99: @POAZ_GRILL @Salum-mardhiyyah @mrs_mardhiyyah.

Fatma_shockat
Fatma_shockat
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 March 2025 18:28:41 GMT
107937
2598
72
206

Music

Download

Comments

chaby.business
chaby business :
jaman maskin tulishwe nanani au ndio maskin atakula umaskin wake
2025-03-02 23:35:05
33
abiiajmi
abiiajmii :
hakuna kitu apo ni ria tu walala hoi wamejaa
2025-03-03 14:53:54
4
khadija.said85
Khadija Said :
Mskiti umeshajenga maridhia au unalisha watu tu tena kwa kuchagua viongozi mawaziri mayatima wapo wasojiweza wapo hapo
2025-03-03 12:17:38
4
hswaleh650
Swaleh :
hapo mashallah akila aloalikwa hapo anajiweza lkn wakialikkwa maskini wanapikiwa pilau lao la jaza domo
2025-03-03 11:56:32
2
mr.business859
Mr business :
naamini anatengeaza brandi hajafanya makosa pengine anasaidia kwa upande wa pili
2025-03-07 13:55:58
1
binmasoud8
binmasoud :
Mola ndo anajua nia ila swala la maskini linaonekana. so lengo hasa ni nn mbona wengi wanajipata apo😳
2025-03-17 15:33:42
1
baalawibaalawi
BAALAWI TOUR ZANZIBAR :
Na Sisi wengine mgetualika kwenye maavyakula kama hayo mmgefanya la maana maana tunayaona tu kwenye sim 🤣🤣😂😂
2025-03-04 06:52:19
0
abakrilly
Abakrilly :
ingependeza mngewafwata walala hoi mkaftari pamoja mkiwafariji
2025-03-03 11:49:05
7
almazrui.77
Mohamed~🇹🇿 :
tuwakumbuke na maskini wasiojiweza mashallah allah awabaarek awalipe khery badali InshaAllah ❤️🙏
2025-03-03 11:39:31
7
user9741140331021
user9741140331021 :
mwenyezi mungu awajarie kwa wema wakuftalisha Ishallah, ila wangejaliwa Walah muamini tupo na mayatima nyumbani Leo tumeftali sembe halina Tunda wala nini mchuzi wamaji!! na ndio daku,alahmdulilah
2025-03-18 23:36:45
3
secondbaby94
SecondBaby94 :
😳😳Mashaallah sisi hatuwezi kufutarisha hivyo
2025-03-16 12:18:12
2
albedo.tz
Albedo Tz :
chakula hakina kheri hichi Wala musiwaonee chuki ao hayo ni maneno ya mtume
2025-03-12 06:54:11
2
sultanplatnumz
Sultan Platnumz :
jamani Msiseme mengi Kusaidia Masikini anasaidia bila Ya shaka Yyte Ila Mkumbuke umaridadi unaficha umasikini mkitafakar neno hili mtafaham nn maana yake Pia ya watu yatupite mtu akae kimya
2025-03-03 06:41:15
2
fizo96
fizo don :
hao matajir watagusa gusa na kula kidg kdg tu sio vyakula vigeni kwao. ila kuna watoto wa kimaskin wanafutaria muhogo tu😭 subhanallah .
2025-03-12 14:07:51
2
fizo96
fizo don :
sio vibaya kuftarisha.ila unafutarisha watu wanaojiweza na unawaacha wanaohitajia masikini na mafukara. Allah anataka uwasaidie masikini na mafukara.
2025-03-12 14:05:14
1
dougheffernanpvt
Doug Heffernan :
mashallah tabarak llah
2025-03-12 19:31:39
1
elabdoul7
EL AbdouL :
🥰🥰🥰
2025-03-05 08:54:57
1
user6524615544335
nayfat amour hasssan :
tupo wanyonge kula kama hii twaytamani mungu akuzidiahie kuliko hiki
2025-03-05 15:30:58
1
manface.fildoline
Manface Fildoline :
next 👏👏
2025-03-04 12:46:37
1
mulyanadly3
mulyanadly :
jamn tukumbuke huyu ni kijana bado damu ya ujana inamchemka ☺️ama mambo meng anatk kufany y ujan than huy sio sheikh hamn sheikh atamuendesh mkewe nywele nje☺️.
2025-03-04 19:51:29
1
queen_.m3
Saadie :
mashallah
2025-03-05 04:17:51
1
user6524615544335
nayfat amour hasssan :
mashallah
2025-03-05 13:56:06
1
user9153080599722
user9153080599722 :
mashallh Allah anifanyie weps katik maish yak pia ukumbuke wenzako coz sio wot sw wapo ambao hata chai inawashind kwa sukar hii ni kufru kwa mung
2025-03-17 09:39:40
1
shizzi93
Shizzi93 :
mganga afutarisha
2025-03-03 08:08:26
1
vanboynassir
Van boy Nassir :
tutaviona kwenye cm tu
2025-03-21 17:10:35
1
mrsabdou1
💍Mrs Abdou🇰🇲💗🇹🇿🍯🕋📿 :
sijui kama mnajua mnacho kifanya ivi kuftulisha mtu anaejiweza na kupeleka ftali kwa watu wasiojiweza kipi bora na chenye malipo ,,hatuwapangii ila
2025-03-22 07:30:24
1
night_king89p13
night-king :
Dinner
2025-03-22 17:27:50
1
mohamediabdul1
[email protected] :
ماشاءالله🤣🤣🤣🥰
2025-03-22 18:20:32
1
muu3511
muu :
mmh hao maskini walivyo weng baada ya kuona ftari utajiuliza bando wamepata vp😅😅😅😅
2025-03-22 21:00:39
1
mzalendotz03
ALLAH AKBAR :
🙏
2025-03-27 16:34:41
1
iftekarmohamed
KHADIJA IFTIQAR Mohamed :
mashaallah
2025-03-03 00:54:45
1
albusaid30
البو سعيد :
😄😄😄 futari ya watu wenye uluwa mimi na wewe tusona kitu tukae pembeni
2025-03-24 08:03:09
1
zanzibar.movie.box
Zanzibar Movie Box :
🔥🔥🔥 The best taste money can buy Skukuu bites 0777 174167 Zanzibar
2025-03-23 11:51:13
1
narl824
Narl :
MashaAllah
2025-03-23 18:19:54
1
qu33n.tumamy
🔐Qu33n💜 Tumamy🥰💞 :
nialikeni na mm 🙌
2025-03-04 06:52:03
0
alimansourali34
alimansourali34 :
Ningekua na uwezo ningekushana maskini wote nikawaftarisha ♥️
2025-03-06 14:03:32
0
afifaomar14
afifaomar14 :
😳😳😳😳😞😞
2025-03-06 17:12:10
0
hassankassimmussa
hassankassimmussa :
sasa ww ushajijua masikini untk ualikwe hyo kanzu ya kioman na ww unayo😁😁
2025-03-06 18:11:34
0
5cute3t
꧁༺5cute3T😍 ✿༻꧂ :
Shekh mbona na sis hatupat tualikan bc ukipt km iy
2025-03-13 11:23:52
0
kulty44
kulty :
unajua inawezekana maskini pia wanafnyiwa km ivo lkn hawaoneshwi kwenye mitandoa kuepuka maneno
2025-03-03 12:24:40
0
fabastarfc
faba star fc ⚽️⚽️💪💪 :
Nice Masha Allah
2025-03-02 21:33:55
0
underrated229
underrated :
kwa znz kebul....pambee!!
2025-03-03 01:49:43
0
mayuu177
mayuu beauty 💄 :
mbona mm sijaalikwa😂😂😂
2025-03-03 05:25:05
0
official_shaqiiq
SHAQIIQ :
Maa Shaa Allah Mumefanya Jambo Jema Mno
2025-03-03 05:48:06
0
sadirally
SADIRALLY :
🙏
2025-03-03 05:50:03
0
ablamuu
mamsal :
tujitahidi tunapotaka kuftarisha basi tuftrshe wale wasio jiweza .
2025-03-03 06:02:57
0
user8530947181736
official khana :
mashallah sheikh amefny kit kzr ila kw nafac yke nimfano mzur kufik lengo l kuftarish ktk jamii ili n wengn wawz kuftarish wat w hal y chin
2025-03-03 07:11:04
0
abuticsababa
Jkr sababa traveler :
Hatualikan 😔😅😅😅
2025-03-03 07:29:49
0
feisal574
Last born :
Mashaallah
2025-03-03 07:59:59
0
sleymanabeid
gregśolomon :
mtihani 😂😂
2025-03-03 08:35:16
0
blb_cakes
Maison sumayya :
itafika wakati watu watakua na mali nyingi , kiasi mpaka mtu atatafuta maskini wa kumgaia na akakosa ,,
2025-03-03 09:23:30
0
To see more videos from user @fatma_shockat99, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About