@efathatv: Ushuhuda huu wa Mtume Mama Eliakunda Mwingira unaelezea jinsi ambavyo alikutana na Mbeba maono na msimamizi mkuu wa makanisa ya Efatha ulimwengu mzima i.e. @apostleandprophetj_mwingira Acha ushuhuda huu ukupe njaa, kiu na shauku ya kuwa miongoni mwa familia ya wana-efatha na kwa wewe ambaye tayari ni wa Efatha, acha ushuhuda huu ukupe stop order ya kutotoa mguu wako ndani ya Efatha. P.S ⚠️ Kwa habari zaidi kuhusu ni wapi Efatha ilianzia na ni watumishi gani waliosimama na Mbeba Kusudi katika kipindi chote hicho, basi usiache kufuatilia kipindi cha ‘ENZI HIZO’ kinachoruka kupitia runinga yako pendwa ya @efathaTV pamoja na mitandao yetu yote ya kijamii kwa jina la @efathaTV kila siku za Jumanne kuanzia saa 12.00 jioni na marudio yake kila siku za Jumamosi kuanzia saa 6.00 mchana ————————————— #NewMonth #February2025 #Theyeartostandinposition #Efathatv #webringtheworldtojesus #fyp #foryoupage #foryou #viral #trending #tiktok #duet #comedy #funnyvideos #memes #dance #music #love #cute #lifehack #foodie #beauty #fashion #fitness #traveltiktok