@techs.land: How to find your location. #videoviralシ #tipsandtricks #smartphone #Android #Tech #tips_and_tricks #tricks

Tech Land
Tech Land
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 02 March 2025 21:05:05 GMT
519456
11818
220
2196

Music

Download

Comments

xiangh14
. :
WANAUME KWA WANAWAKE USIJARIBU KULIPIA HII KITU NIMELIPIA LAKINI WANANIPA NILIPIE DOLLAR $48., Na uki track wanakuletea ramani ya LOSS ANGELES, ni kutapeli mtupu huu, mtaliwa pesa
2025-03-03 05:39:38
85
iampeter524
Pinchez 💯⏩ :
Uogo 😂
2025-03-02 23:49:56
1
chiefuthedoni2
chiefuthedoni2 :
namna yakulipa ndo shida
2025-03-10 17:20:49
1
james_12012
️ :
me kwangu inagoma
2025-03-02 21:24:44
4
chuseboytz01
chuseboytz01 :
me nataka kujua location ya mungu
2025-03-03 12:33:13
1
johntall25
kichapo :
dollar Moja ni shillingi ngapi eti??
2025-03-05 14:13:43
1
user686875449831
maulid salma :
hapo kwenye pesa 2 ndio umekosea🤣🤣🤣🤣
2025-03-21 08:35:14
1
usermasmaso19
user masmaso@19 :
kama hela ipo m pesa nalipiaje
2025-04-04 06:02:54
1
user_deennis
️ :
sasa hapo kwa malipo ndo umekosea😂
2025-03-21 19:23:11
1
chriss0423
khanchrisss :
je akiwa amezima simu
2025-04-03 21:32:53
1
matthewkimario1
_Matthew_jr :
kaka nifundishe jinsi ya kuweka hela kwenye account ya mtandaoni
2025-04-16 14:04:59
1
user59383543414346
E.j Hardman :
kaka sasa apo kweny malipo unalipiaje??
2025-03-26 16:16:18
1
user68018280873056
cute love :
kaka nimeweza ila nimeandika emal yng au sjui nimekosea maan sijui alf jins ya kulipa iyo pesa nifahamish
2025-05-09 18:24:33
1
timinahtaminah
💜✍️🤍𝐓𝐢𝐦𝐢𝐧𝐚𝐡🤍💜⚖️ :
❤❤Thank you
2025-03-03 06:32:16
4
official_vanny02
Official_Vanny :
Acha uongo ww hii website ni Yako unatak kupga hela tu tuaijua hii michezo
2025-03-02 21:54:33
10
2n6stepups
2n6 Sṭəp ůpṣ :
mboga hii sauti yako ina kaakama ile ya mikora ya safaricom😂😂😂
2025-04-01 08:22:49
0
chimlove02
Chimlove 🩷 :
Wezii hao kaka walishakula pesa yangu CrDB 😂😂 50k walisepaa nayo
2025-03-18 14:45:50
0
kidiluchinazanzbar
user1093444077113 :
sm yang nkiwasha data sms za kawaid hazkubali msaad kaka
2025-03-04 12:45:16
0
ahmad.waforo
WAFORO :
usiwapigishe watu link kama hizi ni za scarm ukitia account no yako wataanza kukata kwa kila mwezi bilA ya matumizi yoyote na haifanyi kz yyte
2025-03-03 01:46:16
8
movicc10
Movicc Tz 10 :
NILIVOSIKIA TU KUNA HELA NIKAKUONA MBWAA KBSA😁😁
2025-03-04 21:56:15
1
noor_mohammad055
Noor mohammad :
Kama sm yake imezimwa jee ?
2025-03-03 05:10:02
2
zaroboytheoldcar4
ZAROBOY 04📲🇹🇿 :
brother. hivi ni kweli link pesa inafanya kazi
2025-03-02 21:17:45
3
mbazasrvalence
Mbaza Sr Valence :
apo kwenye malipo
2025-03-03 06:43:31
1
19shauri
shauri technician :
vp kama nahitaji kujua na GPS za eneo alilopo nafanyaje
2025-03-03 18:10:12
1
mrisaacibra2
#Billiard Pro :
mimi huwa nashindwa jinsi ya kulipia,, huwa nikifika kwenye kulipia nashindwa naghairi naomba msaada wa jinsi ya kulipia
2025-03-03 09:35:52
1
To see more videos from user @techs.land, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About