@hassanislamu: #dadanddaughter #dada #ramadankareem #assalamualaykumالسلام_عليكم

HASSANISLAMU
HASSANISLAMU
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 March 2025 10:22:30 GMT
1198247
95501
1550
18016

Music

Download

Comments

shamsa_933
shamsa Mohamed :
sisters are our second moms😩🥺😍
2025-03-03 17:22:36
245
madamsasy
gemin girl🥰 :
dada ang nmemkopesha lak1 moj sahv sm apokei😂🥺
2025-03-04 13:36:06
96
amrianabahan
AMRIA 💞 :
Nataman niwatag wadogo zangu nnavyojitoa kwa ajil yao Ila wao wananiona Kama chenjeu 🥺🥺🥺🙌🙌nataman nisingekua wa kwanza kwetu
2025-03-04 11:17:34
137
hassanislamu
HASSANISLAMU :
YAA ALLAH WAIFADHI DADA ZETU WOOTE 🤲🤲🤲🤲🤲🤲 NA UTUPE KAULI THABITI KWA DADA ZETU🤲🤲🤲 AMIIN
2025-03-03 10:29:02
106
mamaima91
MARIAM :
daah sina dada nipo wakike mwenyew katika watoto6 namuuguza mama mwenyew wallah nalia kila siku ningekuwa na dada daah😭😭
2025-03-04 14:50:48
16
user22602713492507
user22602713492507 :
duuh jaman me sina dada natia uluma daahh na me nilitaman kua na dad lakn sikubahatik daaahh
2025-03-03 14:30:29
16
user60188801318040
user60188801318040 :
nashukuru ninaye dada ananipenda sana na najivunia kuwa nae mungu amueke milele inshallah
2025-03-04 08:57:27
39
bwidabwida
Bwida🌹bwida!!!!!!! :
pole ❤️❤️❤️❤️🙏
2025-10-12 18:51:19
1
nimrafawaz2
jannah :
dadangu aliniambia udada wetu ulisha wakati mama yetu alifariki so I keep distance
2025-03-04 09:11:58
5
akomizer
$TRAGO Rp :
nina Dada wa 5 Allah hawalinde Ameenn i lov y'll my sisiter 🙏🙏🙏
2025-03-05 13:33:01
9
adesh.662
📿📿Adesh2️⃣6️⃣❤️ :
sisters are our second moms
2025-03-04 13:53:16
13
hamidipandu3
hamid😶‍🌫️ :
😭😭kwa bahati sina dda alifariki akiwa mdogo sana😢😢
2025-03-04 06:00:58
21
ibntwha
IBN Twaha :
wenye madada zao jamani mashalllah
2025-03-03 23:48:18
12
hamoudy2371
Juleybib :
Alhamdulillah Mungu awahifadhi madada zetu❤️❤️
2025-03-03 14:51:31
15
useramina5940053144477
user amina 5940053144477 :
😢😢😫😫😥😭😭😭jamani mimi sina dada mwezenu
2025-03-03 19:36:37
8
sharifamohamedinyange
sharifamohamediny :
hata sijui niandike nn ili nieleweke lkn dada angu amenichukia mm kwasababu ya maneno ya mtoto wake ya uchonganishi na kuniona mm mbaya inaniuma sana
2025-03-04 08:43:42
5
khalid698723
khalid idi :
hata akue amezaliwa kwingine ni dada😁😁
2025-03-03 20:24:54
5
adyam254
adyam254 :
afadhli nyie mlio na dada
2025-03-03 17:36:45
5
kitukuu21
kitukuu21 :
may Allah protect you in your life 🙏 sisters ❤️
2025-04-29 10:15:48
2
alikiba.tambwe
Lucie fatuma :
Y'a Allah
2025-05-15 06:41:09
1
usermichiibaby01
user65353089473 :
sina dada nina kaka wawili2 natamani ningepata dada😭
2025-03-04 14:21:12
3
user613239406314
Yasmin :
Alhamdulillah Mungu awahifadhi madada zetu
2025-05-21 20:39:40
1
zayhingi7
latifa hingi :
Allah endelea kunitunzia dada maana mapenzi wanayonionesha Allah atawalipa Inshallah,Nawapenda Sana
2025-04-13 06:15:20
2
beibe.nurphath
Beibe Nurphath :
lait ungejua ila ngoja nikae kimya nisiseme
2025-03-04 17:58:08
1
esqeer
espatricious ❤️♥️ :
mungu akupe maisha marefu dadaangu nakupenda sana
2025-03-04 20:30:19
3
To see more videos from user @hassanislamu, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About