@angelsvoicez: Tazama inavyopendeza { Iyelele iyele iyele iyele, iyelele iyele iyele iyele } *2 Tazama inavyopendeza, ndugu kuishi pamoja kwa upendo Huku tukisaidiana, katika shida mbali mbali za maisha Hilo ndilo pendo kamilifu, pendo alilotuachia Yesu *2 Tuthamini maisha ya wenzetu wanyonge Tuwatunze yatima wazee na wajane Msaada na kwa watoto wa mitaani Msaada kwa wakimbizi wan chi zote Msaada kwa wote wasio na chakula Msaada kwa yeyote asiye na nguo #swahilitiktok #rwandatiktok🇷🇼 #burunditiktok🇧🇮 #kigalitiktok🇷🇼🇷🇼 #kenyantiktok🇰🇪 #tanzania🇹🇿 #swahiligospel #burunditiktok🇧🇮 #zambiantiktok🇿🇲🇿🇲