@nurunaimani: Ndoa si picha za harusi wala maneno matamu ya wachumba, ni safari ya kuvumiliana, kusikilizana na kujengana. Upendo huanza kwa hisia, lakini hudumu kwa hekima, heshima na subira. Msiogope changamoto, ndoa ni shule isiyo na cheti, kila siku ni somo jipya. Tukipendana kwa vitendo na si maneno tu, tutajenga jamii imara. #nurunaimani #nuruyetu #mawaidha #RamadhanKareem
NURU YETU
Region: TZ
Monday 03 March 2025 10:44:18 GMT
Music
Download
Comments
S/S :
True👌👌👌👌
2025-03-03 16:25:15
7
MBR TWO :
Darsa nzur shekh, Allah Akulinde
2025-03-03 16:43:25
7
@Evra :
10000000000000000%
2025-03-04 21:14:34
2
UmmAysha :
The legend him self Star Mbuli
2025-03-04 01:02:08
3
..........2012 :
fact👌👌
2025-03-03 17:26:55
1
fatykids_ :
Very true🥰👌
2025-03-05 06:11:39
0
Al Hashim Mussa :
OH
2025-03-05 11:39:48
0
mariammfinanga :
Perfect shekhe umeongea point
2025-03-03 20:02:08
0
toritori :
True true true
2025-03-05 01:38:35
1
Mr Macapa :
fact
2025-03-03 17:01:36
1
asiya_honey :
True 🤏🤏🤏
2025-03-05 16:26:30
0
fshaffy🥰😍5672 :
mungu anijaaliye nam nipate stara wallah😥
2025-03-04 04:53:02
18
Yasqah :
Hapo kwa unyumba ndio kuna kazi subra na ustahimilivu ndio twaitaji kwa wingi, subhanallah
2025-03-03 15:44:33
42
halwa bawaly nairobi :
wanawake wengi motoni
mtume hajakosea!
2025-03-03 13:04:44
17
WARDA VIATU VYA MTUMBA :
sheikh umeongea kitu kimoja kikubwa allah atujalie khatima njema na atunusuru na moto wa jahannam na atufanyie wepesi kaa kila hali na utujaalie wepesi wanawake hakika dunia ni mapito ya mda mfupi
2025-03-03 14:22:26
35
BOBBY_VALENTINO_001 :
Tuulizeni kabla hamjaoa😂
2025-03-03 13:54:17
6
Mahir :
Haujakamilika uchamungu wa kijana/mtu yeyote mpaka AOE
2025-03-03 11:56:36
14
Noureyz :
mukipendana hata kama hamujuani tabia vizuri mutaenda rekebishana ndani muongee mupange mufanye subraa siku mbaya ma nzurii
2025-03-04 08:35:11
6
helloPeace😘 :
nitaolewa na mkaka mzuri wa sura roho na matendo inshaAllah 🥰
2025-03-04 14:24:24
5
jazmin :
sasa ukutane na mume mbishi humuambi kitu.utajua ujui
2025-03-03 17:14:08
6
Don’s_kennel🐾🐕🦺 :
Shekh umesema wanakutana mda mdogo alafu kila mtu kwao..,so inafaa kuonana kabla kuona?swali tu lakini nisichukuliwe vibaya,
2025-03-04 08:00:41
1
Mohamedy Mdeka :
Nandomaana kwasasa hupaswi kuoa bila kuonja never 😁
2025-03-03 20:22:48
1
Mamy Ozil 🦋 :
yaan kwny kukoroma dah nachukia kwel 😂
2025-03-03 18:01:26
1
😘Thumer🫂❤️🥰 :
Mashallah niolewe sasa 💯kumbe watu wangorota 🧐
2025-03-03 21:04:13
2
Sarah Mnyazi :
wakati wa kuchumbiana kila kitu shuar,ingia kwenye ndoa Sasa,,domo litanuka,kikwapa Hali Hali hali ya hali🤣🤣🤣🤣choka mm,Allah atufanyie wepesi,wallah mitihani,subra na ibada,ukiiweza tuu basi🙏
2025-03-03 20:23:09
1
To see more videos from user @nurunaimani, please go to the Tikwm
homepage.