@drama_boy45: #part543#tanzaniatiktok🇹🇿🇹🇿 #swahilitiktok #fyppppppppppp #Drama_boy45 #vairl

@Drama_boy
@Drama_boy
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 March 2025 10:57:03 GMT
442414
21238
1526
2290

Music

Download

Comments

nasseeb.maaruf
Nasseeb Maaruf :
ndo atembee kama kangaroo🤭😂😂
2025-03-04 12:35:27
17
munawrah2
munawrah nakazi :
this is our month. Ramadan Kareem 🤲🤲🤲🤲
2025-03-04 20:10:36
0
user8070163531226
user8070163531226 :
we koma
2025-03-04 07:50:37
2
user9123006593518
@123shamaria :
mbona kariaakoo
2025-03-05 12:58:26
0
user9559779185199
Jamie💝 Bae🩵💜 :
He's 4rm wich country banange 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-03-05 00:40:44
0
its_paulwest
its_westquotes🖕 :
real
2025-03-04 10:56:02
0
user3114681571021
blandina :
Pole
2025-03-04 11:36:41
0
user2526158729518
user2526158729518 :
wakifunga wasilaam tanzania zima wanajua hila wakifunga wakilistu wala ujuwi km kafunga duu 🤣🤣🤣
2025-03-04 04:53:40
160
jacque3_3
Mimi🫶 :
😂😂😂sa si atulie ndani shida nn kuzurula😂😂😂😂💔💔
2025-03-03 14:09:34
236
natonback
Selah! :
Mnakesha usiku kucha mnafakamia viporo halafu mnasema mmefunga 😂😂😂
2025-03-04 03:35:49
130
lilianngereza3
lilianngereza3 :
😁😁😁 huu mfungo wa mwaka huu tutaona mengi😁😁😁😁
2025-03-03 14:43:04
118
tranquil2209
Dorrah 2.12 💕 :
ivi wanafungaga nn na yanaamka usku usku kufakamia viporo
2025-03-04 01:32:54
27
moramochannel
moramo :
wallahi kwa jua la kariakoo utembee saa sita hadi nane na funga kama haujanunua soda zile zilizo na barafu kabisa basi kweli wewe Peponi moja kwa moja khaaa!😅😅😅
2025-03-03 15:29:40
35
user84700161611813
Wymh :
😂😂😂Kabakia kilo tano hapo mpaka afike nyumbani atakua yupo na kilo mbili😁😂😂😂😂🤣😆😆😆😆😆
2025-03-03 16:26:23
37
happie803
Happy🦋✨ :
Siwapatiu picha mawinga wa kariakoo walioko mfungoni cijui wana hali gani 😂😂😂😂😂😂💔
2025-03-03 14:03:04
23
user1938812867397
JACKII THE NOTORIOUS :
Aliegundua VPN Mitano Tena🙏
2025-03-03 15:31:41
17
wizzy.de.icon17
wizzy de icon17 :
Miaka inavozd kwenda ndo kila kitu kinazd kuwa commedy yan dah😂😂
2025-03-03 20:00:06
20
donatha.mathew
Donatha Mathew :
😳😳😳😳😳😂😂😂😂😂kwisha habari yao kwani hawarusiwi kunywa maji mana amekaa kamlevi sasa
2025-03-03 18:47:30
11
lizyalony
Lizy hair designer :
hahahha bado zam yetu wakristo cjui itakuaje kwakwel😂
2025-03-03 19:42:33
7
user2957488111991
sureah omary❤️‍🩹🔐 :
kanakimbiza royo yake isije ikagongwa
2025-03-03 11:51:04
13
zalbia.official
zalbia official :
mbona kama mabega yamemshinda😂😂
2025-03-03 14:11:24
14
aishaally900gmail.com
Aisha :
Jamani mimi Leo nikawa Sina maji nikasema nikachote maji sasa nikabeba dumu Moja weeeee nilihisi kupoteza network Bado nusu nianguke hapana jamani 🙌🏽😂😂😂😂
2025-03-03 18:26:38
14
florahhollota
flora :
😅😅 sas huo mfuko anaenda kubebea kitu atawez kubeb😂😂
2025-03-03 18:26:14
9
user2997587762810
jeska nasibu :
ivi jamani kwa nn jua la karia koo la kitofaut
2025-03-03 17:57:59
7
lizzygoodluck616
Lizzy Goodluck chriss :
😂😂😂😂😂😂😂😂njoo unilipie kodi sasa maan nmechek kwa saut wakat mwenye nyumb anajua nmesafir
2025-03-03 18:38:33
8
To see more videos from user @drama_boy45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About