@mckatokisha: Tag your lovely sister🥹🥲❤️ #McKatoKisha 🎤

McKatoKisha
McKatoKisha
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 March 2025 16:06:58 GMT
1207204
59725
2015
1650

Music

Download

Comments

zaburi81
ZABURI :
my big bro cried and told me please come home usiende Kwa watu 😂😂
2025-03-04 05:48:05
281
beautyaisha6
aisha beuty@ :
dadangu alipolewa nililia mamangu akanambia mnafik unalia nn wakat kila siku ulikuwa unamtukana mwenzio nikaona bora bicheke2😅😅😅😅😅😅
2025-03-03 17:38:47
699
minah8898
Mina fashion :
wenzetu upendo mnautoa wapi 😭😭😭😭 mungu awabariki tuu
2025-03-03 16:23:17
421
monalack17
monalack17 :
Mi sina dada naomba mlio comment mje mlie nikiolewa 👌❤️
2025-03-03 18:09:59
321
074lizzy2
Lizzy🥰 :
mimi sikulia kabisa maana alitoroka na begi langu nguo zangu akaacha kwenye diaba
2025-03-06 10:30:00
75
mrsbucuroai
Jb :
dadangu alilianga hivi na hata haikua harusi nilimwambia naenda olewa alilia hadi hio ndoa nikaachana nayo
2025-03-03 19:19:32
86
babygal_2020
babygirl :
nikikumbuka niko na dada yangu natamani aolewe nitawale nyumba😏😏😏😏😏😏
2025-03-04 06:20:16
321
beinglorah86
Miss flora🥰❤️ :
nililia ad nikaenda nae kwake kukaa mwez🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-03-03 16:29:32
86
happei4
h❣️ppie❤️❤️ :
Itakua dada mtu hajaolewa ndo maana analia
2025-03-03 18:41:13
69
faithbonareri7
Faithbona💋💋 :
RIp my sister, 😭 natafuta dada huku tiktok I'm only gal
2025-03-04 20:00:43
16
ziongrl
ZION GRL🤍💎 :
umeanza kulia vzr ila hicho kicheko kimenfanya nkuone mnafiki kwa mdogo wako🥺🥺
2025-03-03 16:29:49
27
officialdee_26
Unique_dee26 :
One day mimi na Dada angu ❤️🥰🫂
2025-03-04 12:17:52
7
limao927
Makii🤍☺️ :
😂😂 dada ninae ila kingereza ndo sina
2025-03-03 18:29:51
33
user46912242017622
Ruella Whitney ♥️ :
siwezi lia,not unless nimeona pilau na chwis kwa meza😂😂😂😂
2025-03-05 10:53:10
12
jennifer.gathoni8
JENNIFER w Gathoni. :
🤣🤣wenye hatuna Dada hello,pita na like
2025-03-03 22:00:53
30
precioustz23
Precious 🍭 :
MI SIJUH NI NANI ATANAMBIA HIVI WAKATI MEZALIWA PEKE YANGU😔😔
2025-03-05 07:22:25
8
alice40961
Alice :
kwan ndugu wengne upendo wanautoagawapi
2025-03-03 18:11:07
25
user4460998174953
cathervumu :
kwa yoyote mwenye upendo huwaga huwezi kujizuia
2025-03-03 17:55:09
6
auntie0976
Auntie 🥰🥰🥰 :
😥😥Mimi ndio huyu sina sister 😥😥😥
2025-03-04 00:41:49
5
shellsdkado
Shell's D Kado :
Mimi dada yangu nilimuomba aniazime laki mbili saivi kila mtu hujui mwenzake anaishi wapi 🤣🤣🤣🤣
2025-03-03 23:22:10
13
blackb520
Blessed Queen 👸 ✨️ :
mm dadangu Alison olewa nilifurahi juu alikua ananipaga vibaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-03-03 19:55:02
9
getrude4572
Getrude :
wow this is nice love from your sister 🥰🥰
2025-03-03 18:49:09
7
phideliamaulus802gmail.0
Phide chupi kunoga :
marry anamoyo mgumu wa kutokulia, ndoa yake itadumu, huyu atakua kama zuchu haachiki.
2025-03-04 11:23:22
3
mbalikiwa120
ESTHER FOR JESUS CHRIST ⛪ :
Kile kimenifurahisha nikuwa, ni watu wanao mcha MUNGU. May GOD continue blessing them🥰🥰🥰🥰
2025-04-19 12:18:33
1
pretty.lizzy131
pretty lizzy🫶🥀 :
hahaha 🤣🤣 huyo wakunililia namtoa wapi
2025-03-18 06:08:06
1
To see more videos from user @mckatokisha, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About