@chubbygee10: Uku ramadhan uku kwaresma😊🥰#proudtobecatholic #catholicsongs #kwaresma2025 #God #miracle #fyppppppp

OFFICIAL_G.BLACK🍑🖤
OFFICIAL_G.BLACK🍑🖤
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 03 March 2025 21:50:19 GMT
266008
12886
212
3610

Music

Download

Comments

user3780231816803
Brayani mushy :
Amin
2025-03-04 09:59:25
1
innocentkaleb405
innocent :
okay Yes
2025-03-04 19:01:55
0
jeskaezekiel919
evance pascal :
wakristo tunao amin kwaresma na kufunga tujuane hapa
2025-03-04 18:12:47
89
scolastica.joseph
Scolastica Joseph :
namuombea na mwanangu akafanikiwe katika maisha yake la hekima nakwa utashi katika masomo yake ya chuo kikuu
2025-03-04 17:36:38
17
director2127
director :
Ee .yngu mwema,Mama Maria na Mwanao Yesu naomba niambie moyo mpya ...nikujue na nikutumikie siku zote za maisha yangu
2025-03-04 07:44:45
19
user4213127286227
gabriel Oswald :
ee yesu, naomba utukumbushe kuumia tunapotenda dhambi hasa hiki kipindi cha mateso yako
2025-03-04 10:45:51
12
user16005729845260
janneti 16005729845261 :
ee mama maria naomba unijaalie afya njema mim na familia yang yote amina
2025-03-04 10:49:46
9
agnesmaiko0tiktok.comagn
@Ag :
ee bwana naomba unijalie afya njema mm na familiaya yangu naomba upokee sala zangu na sadaka zangu ziwe hery mbele zako unisamehe mm mkosefu
2025-03-04 17:23:52
6
bless_be.girl
bless_be girl :
majivu nilin jamn
2025-03-04 19:00:08
1
christinamahuli1
simiyu kwetu#@ :
asantee Kwa kutumbusha mwenyez Mungu akubariki
2025-03-04 18:43:53
2
felisterkaihura30
La Dona :
Kama una mimba changa unaruhusiwa kufunga?
2025-03-04 10:39:50
3
erdajohn3
erdajohn0 :
iv inalusiw kam ujaend kupakw majiv na ukafunga kam kawaid
2025-03-04 18:41:46
1
mnyama.b
Body boy :
karb kwaresma.amen
2025-03-04 20:55:15
3
shei.baiby
shei baiby :
kwan nasisi tunafungulia saa12 au vp maana Bado sijajua nieleweshen je kama unaishi namume bila ndoa unaweza kufunga
2025-03-04 14:03:55
1
user86221076009
user86221076009 zainabu john% :
kuanzia jumatan tunafunga mpkalin
2025-03-04 17:19:47
0
marry_ladies_fashion
@marry_ladies_fashion :
Jaman situnanza kufunga Alhamisi
2025-03-04 11:42:26
2
user2700812601900
happylyimo :
ombi langu ni moja Baba yangu nibadilishe nfanye mpya Mungu wangu nakulilia wewe Mungu wangu sina mwingine wakumlilia huu mfungo kanionekanie Mungu
2025-03-04 11:02:26
3
paulinepaulie1
paulinepaulie576 :
Mipango yote ya mwovu shetani ambayo yamepangwa na maadui katika maisha yangu nayakemea katika jina la Yesu Kristu.Amina
2025-03-04 21:00:15
1
lydiamary44
Lydia :
Amina
2025-03-04 21:00:12
1
fortunata455
user5619032431599 :
"Funga Jumatano ya majivu,usile nyama cku ya Ijumaa kuu''sasa ukishaijua amri hii nahisi hutawaza cku ya kuanza kufunga
2025-03-04 14:56:06
1
nangasuhemedi4
nangasuhemedi :
je kama unanyonyesha unaruhusiwa kufunga
2025-03-04 14:51:29
1
user3207061401658joemmy
joemmy :
Kwan Jpil huwa tunafunga
2025-03-04 14:35:55
1
use273679
use71246184 :
amen
2025-03-04 07:04:07
2
sheislora
Flora :
Eeeh Mungu kuanzia kesho badilisha maisha yangu kiuchumi, afya pamoja na vyote katik maisha yangu🙏
2025-03-04 20:47:30
1
inno0533
inno5 :
ibada huwa inaaanzaga saangapi
2025-03-04 17:51:07
0
To see more videos from user @chubbygee10, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About