@tradervany: Hivi ndo jinsi nilivyotengeneza zaidi ya $695 kwenye hii trade ya EURCAD🍾 . . . #tiktokswahili #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #forex #fyp #foryoupage #priceaction #forextrader #forexforbeginners #tradingstrategy

Trader vany
Trader vany
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 05 March 2025 10:09:26 GMT
16698
683
49
136

Music

Download

Comments

alfredsmlton
Alfred Smlton :
usichoke kaka kutupa video kama hiz wengine hatuna mamentor wa kutuelekeza lkn mungu anasaidia kwa uelewa wa chapu ùbarikiwe #liqudity#🙏
2025-04-16 21:05:14
1
bigmouse393
BIG MOUSE 🐁 :
tuonesheni wakati mnapoingiza hasara pia 😅
2025-03-06 05:37:26
0
amourbien007
jean-françois motema esengo :
bro sorry kwa capital ndogo kama $ 30 au 20 unaweza weka entry na timeframe ya 1h
2025-06-13 15:12:13
0
sangawe1000
sangawe1000 :
Yaani brother naangaliaga video zako kwa makini Ila nikisha ingia kwenye chat yaani nachanganyikiwa kabisa.
2025-03-06 08:01:17
3
bromo.v
BROMO.V :
🔥
2025-06-28 12:59:54
2
ivanforex
ivan fx :
Mkuu aseee nime beba kitu
2025-03-21 08:15:57
2
kahawa_traderfx
Mr.Kahawa📈📉 :
kaka mkubwa, naona umeongeza lot size 😅
2025-03-07 08:53:28
2
emmanuelmtesigwa3
Emmanuel Mtesigwa :
Onesha unavyochukua sio ulivyochukua Kingine onesha upande wa pili wa trade njisi unavyopata loss.
2025-03-08 14:51:01
1
mr.enki25
Mr Right. Enki :
kama huyu ni wachache sana
2025-05-25 06:19:50
1
user3082420404358
user3082420404358 :
😂😂😂
2025-04-16 01:06:15
1
ivanforex
ivan fx :
Mkuu
2025-03-21 08:13:32
1
aaa100000002
A :
👍🏻👍🏻👍🏻
2025-03-14 20:03:12
1
josephinekomba08
josephinekomba8 :
Mkuu;Mbona nikitaka kuichora io mistari kwenye market kutumia cm inashindikana,msaada Tafadhari
2025-03-14 16:18:27
1
jason_blvk28
Jason__8 :
Stay Focus
2025-03-11 09:58:32
1
makerojr101
makerojr :
🔥🔥🔥
2025-03-05 10:20:36
1
tekashi_nickdemity
TEKASHI ICE🧊 :
💯💯💯
2025-03-08 05:30:22
1
shedymwai
Shedrack LM :
nimetoka kumcheck tony iyke na hii strategy aisee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-03-05 21:27:25
1
officiacastory4
Castory :
hii trading system yako ni🔥🔥 inafanana kama future trading kwenye crypto
2025-03-05 21:04:26
1
messy.dk
Dk :
🔥🔥🔥
2025-03-05 20:08:13
1
griezmarx_gmx
Grisen Marx :
nakubali kuwa kazi ni njema sana... na tunafatilia wadau wa fx lkn ikikupendeza uweke option ya kudowload
2025-03-05 17:31:57
1
lodyofficialtz
lody Official :
one of my learning strategies now
2025-03-05 13:42:25
1
lodyofficialtz
lody Official :
nakubl kak ur fire
2025-03-05 13:42:14
1
lugo70
lugo70 :
yeah
2025-03-05 12:58:36
1
georgebway
GeorgeBway# :
Mwanangu sana nakukubali Hakuna video inanipita kwako kk unatumbania sana upcoming
2025-03-05 11:46:29
1
its_joh7
joh :
🔥🔥🔥
2025-03-05 10:42:10
1
colliedrummer
COLLIENE drumme :
😂
2025-04-08 00:52:30
0
minaah225
💕 :
wengine ndio hatuekewi kitu kabisaa tunatamani tu
2025-04-21 10:10:22
0
mor6367790619823
mor :
Unajuaje kama ina buy or ina sell
2025-05-16 21:10:12
0
bonagrinch
TheGrinch :
ruhusu tusave video zako mzee, kama ukiona inatufaa kujifunza
2025-05-19 06:48:18
0
To see more videos from user @tradervany, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About