utaskia ooh ..arusha pazur kuliko mwanza..na watu kutoka dodoma ..tuliaaa!!!!🤣🤣🤣
2025-03-06 01:13:20
25
Jolex Jotama :
ila mwanangu nakuomba ukagombee jimbo mojawapo mwanza me ntakuwa kampeni meneja wako maana sio kwa kupambania mwanza kiasi hiki🫶🫶
2025-03-06 13:05:26
4
veracity :
Sehemu iliyopitiwa na water bodies ni nzuri sana na iweje ishindwe na sehemu ambayo haina water bodies,tena kanda ya ziwa nzima iko na maji yasiyo na chumvi😁😁
2025-03-06 11:07:39
2
sun Jay nark :
Mwanza iyo jiji zuri na lenye utulivu living cost nafuu sana tofauti na sehemu nyingine🔥🔥🔥 mwanza hoyeeeeee
2025-03-06 15:47:20
12
jastinyanga :
Mwanza kwetu
2025-05-30 20:35:15
0
Moreen✨🎀 :
mwanzaa yetuuu🫡🫡🫡🫡
2025-03-26 00:12:29
1
Amosy23 :
watu wa mwanza ndondosha like apa❤️
2025-03-09 08:08:16
40
yaserboy 🥵 :
halafu watu wa mwanza hata hawaringi tofauti na waarusha
2025-03-07 08:10:28
18
Hamisis99 :
Duh hii ni mwanza kweli au mnazingua?
2025-03-06 22:10:22
10
lucas :
utasikia walevi wakisema wasukuma washamba 😂😂
2025-03-30 21:27:04
6
True Master Mafia 🇹🇿 :
mwanza kama ulaya ndogo jamani
2025-03-31 03:28:04
5
Alima Mbung :
Huyo aliebebwa kwa boda boda ni mm naelekea nyanshishi
2025-03-16 08:13:46
5
MOOAPPLE :
barabara ya kuelekea Ghana nela misheni kona ya bwiru pasiasi
2025-03-16 11:07:09
4
Catherine :
mikoa yote yangu naipenda tanzania nimezaliwa mkoa mwingne nikakulia mkoa arusha nikaanza life lindi ,mara,singida na sasa naishi mwanza love you Tz
2025-03-10 10:43:21
4
Ney mabela :
Magufuli hapo
2025-03-05 18:04:02
3
By Maja boy :
Hongela sana umetowa picha zuli sana mtu anaweza kuzani nidubaii
2025-03-07 07:11:38
2
_Kizzie🤑🤑 :
jamani amna wa Buhongwa humu
2025-03-07 17:46:45
2
Lenard magari dodoma :
akuna kitu kinachafua mji wowote apa Tanzania kama nyaya za tanesco
2025-03-18 21:20:18
2
Judith Donant :
Jiji lenye utulivu sana hapa tz
2025-03-15 10:29:02
2
unclepeter97 :
Mwanza mwanza nimepamiss sana nyumban 💝🤔
2025-03-06 16:48:22
2
Beckam Cleophace :
mwanz mkoa yet
2025-03-14 15:27:31
2
Samwel Sammy :
nifike mwanza arusha imekua kama Kijiji kwangu
2025-03-06 15:56:27
2
Steven GS :
Mwanza is far away better than the whole Zanzibar.
2025-03-06 15:41:43
2
Ramadhan :
kwetu mwanza hadi raha
2025-03-18 20:33:50
2
Richyfrvr :
Bora tumepata mzalendo wa kuitangaza mwanza
2025-03-06 13:16:40
2
goodluck bobol :
Rock city
2025-03-06 11:28:08
2
fredy sendi yanga :
ila jamani mwanza pazuri sana
2025-03-30 05:57:14
2
Ester cosmetics :
kumbe naishi jiji zuri HV na cjui
2025-03-11 12:01:24
2
tausi :
waoo mwanza inavutia sana
2025-03-06 02:35:46
2
davidmathiass866 :
mara ya mwisho kupita mwanza ilikuwa ni 1938...sijui locations zake
2025-04-02 08:18:00
2
Flavie Collections💕 :
Mwanza is beautiful ❤🔥
2025-04-01 05:12:30
2
lone wolf :
nenda na buswelu mwanangu👌
2025-03-30 17:49:05
2
furaha assenga :
pazur hadi nimetamn kuja huko Arusha amn kitu mbwembwe tyu🤣🤣😂😂
2025-03-10 09:21:04
2
madam habiba :
Jiji letu ilo
2025-03-12 09:48:31
1
user40751806120 :
Nimemis hili jiji
2025-03-22 21:53:48
1
Steven universe :
mwanza hyo babu utamu wa nchi🙏🙏🙏
2025-03-17 12:30:29
1
da bajoux :
Merci
2025-03-17 07:37:20
1
ROJA AUT SPEAR CAR :
kama ulaya
2025-03-11 20:38:12
1
@Aqsam12 :
🥰
2025-03-16 10:15:31
1
@bisimwa debaba :
🥰🥰🥰🥰🥰
2025-03-14 08:44:43
1
jayz24100 :
🔥🔥
2025-03-14 23:58:24
1
maman Dennize :
🥰
2025-03-12 17:40:30
1
trésor acteur réalisateur :
Here are the other leaders who really love their people in the DRC Congo Mateso
2025-03-14 09:28:00
1
Minister Yuda mwacha :
ASK ME HOW TO BE BORN AGAIN I WILL TELL YOU
2025-03-13 05:23:30
1
fruit de Dieu :
🥰🥰🥰
2025-03-13 14:53:21
1
Lazaro Cardenas market :
😁🤗😳😁
2025-03-26 18:41:40
1
shinoboy :
mwanza mwanza jiji la wajaja hilo
2025-04-14 03:00:11
1
Elias Juma :
tulio.fika.mwaza.hata.hatubishi.
2025-04-04 10:43:35
1
Mtoto g🥰♥️♥️♥️ :
🥰
2025-04-02 18:15:32
1
Kulwa Msafiri :
🥰🥰🥰
2025-03-31 19:48:12
1
lone wolf :
👍👍👍
2025-03-30 17:48:32
1
Nyamuge Primary School :
Nice
2025-03-30 10:02:20
1
To see more videos from user @mr_mooh_, please go to the Tikwm
homepage.