mtu ambaye ajawai kukutana na watu wa aina hii,ajua unadanganya.
2025-03-31 08:55:06
15
Gongothemp :
Nilifanya mpango kwa tabu sana kumhangaikia rafiki yangu apate ajira ninapofanya mm kwasababu alikuwa anataabika sana mtaani. Lakini alipofika alifanya kila aliloweza kuhakikisha anachukua nafasi yang
2025-03-16 08:12:22
7
Festo James :
Aseeehhh Bro barikiwa saaaaana that's me 💯💯💯💯💯💯💯💯💯🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
2025-03-05 19:27:21
4
Ms. Favored🌸 :
Huu ujumbe umenifikia wakati sahihi kabisa, binadamu hawana fadhila💔
2025-04-02 06:27:45
3
whatner👔 :
yaani agiza soda nakuja kulipa,unawajali watu amabao hawaelewani,acha waungane Sasa kutaka hicho ulichokuwa unawapa,utatamani Tanzania iwe Kongo kwa dk 2
2025-04-01 14:45:51
1
mrs J 🥰🥰 :
we acha tu niliwahi kumtafutia ndugu yangu kazi mimi nikajua ni ndugu kumbe ni nyoka cha kushangaza alinitangazia nyumbani kuwa mimi Malaya mjini na nina mimba. Mungu
2025-04-10 12:37:41
3
MamuwaT🥰 :
kwelii kabisa mtumishi wangu. Mungu akutunze sana🙏
2025-09-15 22:59:02
1
Elimary sylish :
Ee Mungu nisaidie kunkumbuka wema walionitendea na kusah au pale nilipolipwa ubaya ila njifunze kutokana na makosa🙏
2025-03-29 08:54:30
2
Tanny :
Very true dah hii dunia
2025-04-12 15:19:00
2
officialmartha85 :
exactly hii imenikuta sana
2025-03-24 06:02:03
1
White Hawk :
mungu akupe nguvu sana kiongozi azidi kukupa hekima ya kuzidi kutufumbulia mengi tusiyo yajua
2025-05-06 17:34:29
1
boi :
ghai kwani paster uyo ni mimi nilisaidia Hadi niapaa sitawai juu nilitendewa mimi
2025-03-08 09:23:12
1
DANIEL®️ :
Wagalatia 6:9 - Tena tusichoke katika kutenda mema; maana tutavuna kwa wakati wake, tusipozimia roho.
2025-05-11 22:17:00
2
SWEET MUNNA Tz🇹🇿ZANZIBAR🏡♥️ :
kabisa
2025-03-12 08:01:55
1
wilson musa :
ukweli kabisa wau ahaa
2025-03-29 16:15:28
1
mariamaden609 :
kwakwel pastor
2025-03-21 09:30:25
1
praise0723102748 :
huyo ni mimi aky
2025-04-01 18:29:51
1
Judy :
kweli kabisa mimi niliyoa saana sitaki hata kuskia sasa
2025-04-03 05:37:51
1
MUSSA SOLUTIONS TZ :
si imeandikwa samehe 7x70,imkuaje haya mafundisho leo😁😄🤣
2025-03-05 17:47:00
1
Légendaire Chlo❤️ :
Sisi apa. Tume tumikia pesa ili wengine wa some university, walipo maliza wakasema hawakutu shurtisha kuwa saidia😭😭
2025-03-13 20:33:00
1
Wanda doreen :
nkweli watu wengine wametuumiza sana baada ya kuwatendea mema
2025-03-07 19:45:24
1
cecilia ogola :
Na wale wamesaidia na wakati wanahitaji kusaidiwa hawan mtu wakuwasaidia watasema nini?????
2025-04-02 12:57:16
1
baby Boss :
🙏🙏🙏🙏🙏thats true daddy God protect you always
2025-03-26 17:15:55
1
iamwisdomljm :
yaan daaa ahsante kwa neno zuri
2025-03-07 13:29:38
1
vvymakere :
dah mm ndio ninahii balaa uyu wa mwisho ndio alinikomesha 🙏🏻🙏🏻
2025-03-05 19:30:15
1
To see more videos from user @pastor_sittamajani, please go to the Tikwm
homepage.