@kiguha_ujasriamali: Mashine Ya kupandia MPUNGA - Motorized rice planter ni mashine ya kupandia mpunga. Mashine hizi asilia yake nchini Vietnam inarahisisha kazi sana. Unaweza kuadjust nafasi kulingana na mahitaji yako. Ziko za mistari 4. Bei yake ni Tsh 6.1M. Tunaruhusu kulipia kidogo Warranty mwaka mmoja. Ukinunua tunakupa na spare zake. Karibun sana. 0784264977#mashine #mpunga #kupanda #rice #china #agizachina #kilimo #machine #planter #riceplanter