I always say WE ARE BLESSED TO BLESS OTHERS.. so tukiona neema zinapita juu yetu tusiinue mabega mara nyingi Mungu anazipitisha kwetu kwa ajili ya wengine..🙏🏻
2025-03-06 21:08:50
17
user8849374141676 :
Mungu naomba unIfanye niw bark kwa kizazi changu ili wkujuwe ww
2025-03-07 07:49:33
5
Puresoul💧💞 :
Mungu naomba unifanye kuwa baraka 🙏
2025-03-07 05:47:50
9
veronicahodi :
Amina baba Mugu wa majeshi ni mwema mno kwang leo amesema nami kwa jinsi ya ajabu kupitia mtumishi wake ninakuomba Yesu Kristo umbariki na umlinde
2025-03-06 20:56:33
5
Witnes Justine :
Ameeeen 🙏💪☝️
2025-03-10 17:36:08
1
sophiatesha :
Semina inafanyikia wapi
2025-03-07 05:04:23
1
rebeka :
kweli kabisa mwalim
2025-03-09 16:45:02
1
Am. Lucy ✨🔐🦋 :
qwaresma hii tushindwe sis tu kushiba neno la MUNGU
2025-03-09 13:59:32
1
Thedy :
jmn mungu anasema nami asante roho mtakatifu
2025-03-09 12:52:42
1
fuloo95 :
Damu ya Yesu inene mema kwenye maidha yetu
2025-03-09 04:49:25
1
To see more videos from user @protasdmassawe, please go to the Tikwm
homepage.