Inamaana asubhi waeza swali kama hujapiga mswaki nikushika udhu tu nakuswali???
2025-03-09 14:23:45
6
Rashda Ramadhan :
Allah atujaalie tuwe miongon mwa walio wema
2025-03-09 08:27:28
18
Niyasi :
mashallah shukran kwa ukumbusho mungu akujazi kheri
2025-03-09 17:52:23
5
omaryramadhani29 :
allah tujaalie
2025-03-09 09:04:51
6
nanamunthaz :
Kuna sheikh niliwahi kumskia akisema makohozi yavunja swaum... Swali langu ni je uko mahali palipo na watu na hutaki kuonyesha makuruhu na huna kitambara labda wafanyaje??
2025-03-09 20:43:42
1
user6201617262505 :
mie naona kanichanganya to ...
je iyo swala ya alfajir unaanza kuswal kuanzia muda gani NA wakat muda wa juwa likichomoza huruhusiwii kuswalii?????
2025-03-10 01:38:42
3
Clementina Alfane :
Amin🤲
2025-03-09 15:41:32
3
Sash cute ❤️ :
Shukran 🙏
2025-03-11 05:05:13
1
Flower Mb :
😳😳😳😳usipige msuwaki ??? mtume alikuwa akipiga msuwaki Kila swala
2025-03-10 14:47:12
1
AUNTY B :
shukran
2025-03-11 17:42:32
1
user4070954153462 :
Allah atupe mwisho mwema
2025-03-11 14:04:16
1
Fatuma Omar :
Je ukilipa wanuiwa kawaida
2025-03-09 18:43:45
4
ct dasiti 😘 :
subbhannallah
2025-03-10 22:50:24
1
Aisha :
mm nilikua cjui kumbe hvyo ustadh
2025-03-09 11:53:02
4
ukhty fatma :
allah ,nisamehe mm nalipa wakat wa swala uliopo hlf nd nalipa deni
2025-03-09 20:23:24
3
zahrahaunt :
Alhamdulillah. Kwa kutufafanulia Mashallah. nakupenda siku zote
2025-03-10 11:14:23
1
madinaabdallamadi :
wah sikujua shukran shekh
2025-03-09 19:39:12
2
hazanyally :
nikweli ata Mimi pia
2025-03-09 18:58:17
2
shumzleon :
sheikh mm nina swali ukiota umefanya mapenzi alafu ukiamka umejichafua je hapo utakua una janaba?
2025-03-10 08:50:25
1
mokram :
assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh na mwanamke je
2025-03-09 18:04:38
2
sweetmaa :
Astaghfirullah
2025-03-09 22:31:44
1
Hassan12345* :
Uzuri upige msuwaki
2025-03-09 20:41:08
1
Juniorqassim :
Allah atufanyie wepesi katika swala zetu…ameen
2025-03-09 23:21:48
21
Fahman :
Yatakiwa imiditli kufanya nini???
2025-03-10 05:12:52
1
To see more videos from user @janatul.al.islam, please go to the Tikwm
homepage.