badilisha ako ka dp tumekachoka yan tokea ukaribishwe ako kachai kwa watu na kasuti ka kuazima basi imekua tabuu unavochekelea ako kachai sasa utafkiri ulipika ww😂😂😂
2025-03-09 17:22:08
16
Mtoto wa Mama :
🤣🤣 Hii n direct kwa status kuna mdaku fulani huku
2025-03-09 17:44:17
25
sallie- alpha :
umaskini,wivu alafu uongeze njaa we kwish🤣🤣
2025-03-09 19:50:12
15
Salma :
Nauza Hina za hiba wapenzi, kwa walioko Zanzibar ( unguja) delivery ipo wapenzi
2025-03-10 04:28:36
5
germaner :
😂😂😂 bomu la nyuklia Upo sahihi lakini tunaishinao
2025-03-09 18:14:13
5
Liz1988 :
waambie kaka
2025-03-09 17:19:36
5
Sarah Soriano771 :
wee ulikua umepotelea wap kweli
2025-03-10 08:54:59
2
AZIZ :
raha jipe mwenyewe nunua pampasi jinyee
2025-03-10 07:05:54
1
davilas :
wimbo ulio bora 1:15
2025-03-10 07:26:35
2
aj :
Ivi wivu na chuki vikiungana sindio uchawii au mm kuna kitu sielew jmn
2025-03-10 06:50:21
2
Eliakunda :
Na unaweza ukatumia muda wako vizuri wa ziada Kuongeza mkondo wa Kipato
2025-03-10 08:59:28
1
nakshyruth :
na matajiri hawajui kama wanafatiliwa. wewe hayo ulijuaje toka hapa maskini 😅
2025-03-10 08:26:26
1
Sophia :
akiweww
2025-03-10 08:21:17
1
To see more videos from user @hakikaruben, please go to the Tikwm
homepage.