Nakumbuka mwanaume nilie zaa na yeye baada yakunizalisha watoto wawili akaanza dharau eti yuaishi na mimi kwa nimemshikia madawa isitoshe mimi sio classyake hatuendani na hawezi kunipeleka kwao, na siku nikikanyaga boma la kwao watanigeuza jibwa niwe nikila makombo yao, nilimwambia kama hawa watoto wawili wenye umenizalisha ndiyo wanafanya uongee hayo maneno yote ntakuondokea juu watoto ni mali ya Mungu, akazunguka na wanawake wakamuambukiza hiv saa hii anameza dawa zake polepole🙏🙏🙏
2025-03-12 18:50:00
8
Dr Mbuyah :
ya Leo inaumiza sana wa
2025-03-10 15:28:15
6
trissy❤️ :
kweli kabisa bro nakukubali sana mala zote unaongega point
2025-03-10 13:52:00
10
musa ndile🇹🇿 :
anaye mkubali brother 🤜🤛💯 kama mimi navo mkubali wekakopa..........like apo respect 🤜🤛 sana brother 🤜🤛💯
2025-03-12 20:39:05
5
sweetdj2 :
daahhh ukwel mtupu, mwenyez Mungu atusaidie wallah
2025-03-10 14:03:34
17
Nandera811 :
sanamu lako lijengwe Mwanga Kilimanjaro brother ✌️
2025-03-12 08:15:49
6
Meshack Mchelsea :
sijui kwa nn dem humpendi ndo huwa wanashika mimba kwa haraka.
2025-03-10 14:49:02
6
RAISIII WA KAHAMA🥷🥷 :
wengne tushakosea brouh ko kusahhsha makosa yetu ni kukubali kuhudumia2💘✊️✊️✊️
2025-03-10 18:40:13
12
Baraka_paul :
Amani Dimile. Mwili wa kijana akili ya mzee
2025-03-12 13:47:30
5
user8594057733446 :
na uwambie na hao wanawake wasitoe sehem zao za sili
2025-03-10 15:04:40
6
yasinta :
kaka naomba uwekewe ulinzi baba😘🙌
2025-03-10 23:03:05
6
princess jey :
ila usikute na wew unasem hvy kumb kun mtot wa mtu analia huk
2025-03-11 12:39:37
5
GeorgeTz :
huo ndyio ukwelii kaka 👍👍
2025-03-10 13:45:40
5
bwana kaka :
kama huna kitu usifanye mapenz kabixa
2025-03-10 17:05:13
8
THIERRY STAFORD :
Broo!!! ngoja nikufollow kwanza for more education respect saaana kaka motivation zako zinatupa mafunzo kitaani.🫡🫡🫡🫡🫡
2025-03-11 06:01:09
21
Jennifer cute19 :
Nakupenda sana umeongea point😭😭😭
2025-03-10 16:56:16
8
J::alex28 :
Nawao kama hawana malengo na sisi wanaume wawe wanatuambia
2025-03-10 17:58:58
13
Squad Boy :
fact🔥 ila angalia videlo kaka middle finger et......
2025-03-11 06:44:27
11
user5948662279378 :
Mh sijui ila nakuta wengne wanaonewa kuna wadada wengne hawana mambo mengi ila kwenu mkigundua mnapendwa mnaanza kutesa
2025-03-10 16:23:44
8
Bilionaire :
MNAZINGUA COMEDY UISHI MIAKA 💯✌️
2025-03-11 06:38:32
5
To see more videos from user @amani_dimile, please go to the Tikwm
homepage.