NDIYO MUNGU PIA NI MHESHIMIWA ILA KASHINDWA TU KUJIAMINI NA KUPANGA MANENO YAKE😁
2025-03-11 08:29:51
34
Y MMD :
yale ni mapepe na kuto kujiamini baada ya kukutana na kiongozi
2025-03-11 05:14:59
12
chars..saganka :
kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake wewe subiri tu
2025-03-11 07:02:26
7
dallyfashion :
😂😂😂😂ndio Mungu ni mweshimiwa pia😜😜
2025-03-11 09:33:22
5
Datius Aloyce :
uyo atakakua ni mtumishi wa Mungu na nimwana maombi kwaiyo kinywa chake kisha zoea kumtaja Mungu kila wakati kwaiyo Mungu kwake ndo wakwanza kabla ya mwanadamu
2025-03-11 07:02:15
5
❤️❤️Dee💋💋love❤️❤️ :
MBONA ME SITONGOZWI
2025-03-11 20:58:33
3
Planet Singh :
namsukuru muheshimiwa mungu....🤣🤣🤣
2025-03-12 08:02:35
1
To see more videos from user @nuhukidago1, please go to the Tikwm
homepage.