Mimi ni mtu wa Tanga lakini kama Kuna watu hawapendi maendeleo ya wengine Tanga inaongoza Tanzania kama una bisha kafungue biashara Tanga halafu upate wateja uone nakubaliana nawewe bro kama ni kweli
2025-03-11 12:14:11
308
nzogela mussa :
wewe nimjinga hata kama kaenda kuiba nazi hiyo ndio hukumu yake
2025-03-11 17:49:45
48
Issa_The_Firstbon☠️ :
KIUFUPI UYO DOGO NI MWIZI😏
2025-03-11 12:19:15
165
fetty love ❤️ :
yule dogo mwizi lakini mwakinyo kakosea kumshakizia mbwa2
2025-03-11 10:54:53
58
lina :
mimi nasimama na mwakinyo yule kaka mwizi usiku wote akafate nini na kiduku chake
2025-03-11 12:42:39
49
zuberi ngoshaa :
shida ww ujuwi sheliya mwenye kiti wamtaa akikutaa unahamaa mbuz ww soma kwanza sheliyaa
2025-03-11 10:15:31
11
mimah B❤️ :
kama ujawahi kuibiwa lazima umuonee huluma uyu mkak
Tanga kama mnatabia ya kuchukua vitu vya watu bila kuomba, mkija songea mtakufa wengi hatuna konakona.....
2025-03-11 09:58:57
52
Vedastus Chisumo :
nyumba ya mke wake acha sifa
2025-03-11 13:32:14
6
baby drama :
Yule ni mwizi na mbwa hajashakiziwa Kudadeki zake saa kumi Alfajir kwenye fensi ya mtu ambae hajaibiwa atatetea lkn mm simtetei mwizi hata cku moja washenzi hawana huruma
2025-03-12 03:09:00
9
bi aysha :
tangazo natafuta mwanaume wakunitowa bikira
2025-03-11 14:10:17
10
business :
saw saw kak watu wanamchafuwa tu champez wetu kamahaw mtak Tanzania waseme
2025-03-11 09:42:48
39
nipher :
Atakama mwizi kwann ujichukulie shelia mkononi
2025-03-11 13:38:58
6
Msafi Classic Wear :
DOGO NI MWIZI ALIVOONA AMEFERI NDIO AKAJIFANYA KAENDA KUOKOTA NAZI😂😂
2025-03-11 11:21:53
78
jeje commedian :
haya tufanye huyo mwizi angemzulu mwakinyo hiyo sheria yenu mngeitumia wap nam2 kashakufa alafu wote ambao wanamtetea yule kibaka nikwamba bdo kuwafik
2025-03-11 16:33:52
10
Masta Michongo ✌️ :
Huyo Dogo Mwizi Nazi zimepangwa unasema umeokota SEMA MWAKINYO ANA MAADUO WENGI ILA HUYO DOGO MWIZI
2025-03-11 13:14:51
9
Hiza Hiza tz :
Watu wa tanga hatupendani yule dogo alikua ni mwizi lakini watu wanamtetea
2025-03-11 20:44:26
5
To see more videos from user @ngovi_tz, please go to the Tikwm
homepage.