TUNAOSEMA BABA LEVO KAONGEA POINT GONGA LIKE TUJUANE
2025-03-11 23:53:22
1089
MpingiJr :
BabaLevo anakaaga Viti vya Mbele Kabisa Kwenye Vikao
2025-03-12 06:05:27
250
fey🎂🎂🍒 :
Wanawake tutafte hela jaman ukiwa bze na utaftaji huwezi waza mbuzi kama hii kama imerudi au haijarudi ata ilalale nje mwaka kikubwa pochi imetuna utapata Chochote unachokitaka
2025-03-12 06:55:19
51
Oliver levisay :
Very true Levo B🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-03-12 05:13:05
73
hansvan :
Ukweli Liverpool Umejua kutuhalibia ratib za OUT
2025-03-12 05:08:29
23
user261514361025deeiddy :
nakubali sana haitakiwi kueleweka kweli
2025-03-12 05:13:56
21
shaibjuma403 :
When u get sick..U want your wife to taking care of you
2025-03-13 02:35:49
8
Queenie classic :
Mnapotosha jamii labda wanaume wasiojielewa
2025-03-12 06:32:10
21
It's yohan254 :
we humjui mke wangu
2025-03-12 16:39:26
9
Mamalao254 :
Bora unaacha hela za huduma nyumbani. Hii sio ya wanaume wote. Utaachika 🤣🤣🤣
2025-03-12 07:16:28
5
Lucy tz :
hiki kichwa ni kinaongoza familia hii ni hasara tupu
2025-03-12 06:21:23
5
Enrique Fletcher :
mzee leo umesema kweli umelala wap
2025-03-12 06:26:07
14
user5120979337819 :
yaani uo ndio ukweli
2025-03-12 06:16:59
6
Farry Missago :
😅😅😅😅 pale utakapokuta watoto wanafanana na jirani yako au mlinzi utajifunza kueleweka mbn
2025-05-19 15:00:51
5
Saidi Yusuph Oggar :
revo babaa nimeipenda hiii
2025-03-12 06:29:44
12
Gosbert Method :
ndo ukweli uo sierewekagi ata kidogo
2025-03-12 06:23:41
6
Lassi moja :
noma sana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-03-12 00:00:12
5
Nick fashion 🙏👗👠👖👜 :
wanaumeee changamka
2025-03-12 06:46:02
5
🥰💝💞بنميراج سالوم🥰 :
nakubal
2025-03-12 06:32:20
5
Øfficial Masue :
wew na diamond muna nafas zenu za uongoz kwenye vikao vya wanaume 😅😅
2025-03-11 22:47:14
13
filo star :
kula kodi hiyo/ ndio wanaume tulivyo / kinyonga ndio men og
2025-03-11 22:08:22
6
master themi :
Uyuu jamaaa nilijua ana akili lkn apewe ulinzi
2025-03-12 06:44:51
10
bey :
Yaan apo sawa kabsaa kwa mwanaume
2025-03-11 18:14:41
10
Dianta Vibe :
umeamua unishtak au? make mpka mwanamke anashindwa cha kufanya mara nirud saa sita niwekee maji ya kuoga ya moto mara mchana sili home yaan vurug mechi
2025-03-12 05:37:56
5
To see more videos from user @grambyblanco, please go to the Tikwm
homepage.