@drdada.afya: 1. Karanga (na nuts nyingine kama korosho, almonds, etc) zina protein na healthy fats nyingi ambazo husaidia uzito kuongezeka kwa mtoto. Unaweza kusaga/kuchanganya peanut butter kwenye vyakula vya mtoto. 2. Maziwa ya mama na maziwa ya kopo (infant formula). Baada ya miezi 6 ya kwanza maziwa ya mama peke yake hayatoshi kuongeza vizuri uzito wa mtoto, ila kuendelea kumnyonyesha mtoto husaidia uzito na kuongeza kinga ya mtoto. 3. Full fat plain yoghurt (mtindi) ina lots of healthy fats, probiotics, n.k ambavyo husaidia mtoto kuongeza uzito na kuongeza afya ya mtoto kwa ujumla. Unaweza kumnywesha, kuchanganya kwenye chakula cha mtoto, au ukatumia kutengenezea smoothies ambazo zinakuwa kama snacks katikati ya milo ya mtoto. 4. Parachichi ni mojawapo ya vyakula vizuri sana kwenye kusaidia uzito kuongezeka. Unaweza ukaponda ukamlisha mtoto, ukatengenezea smoothie, ukachanganyia kwenye chakula cha mtoto, n.k. 5. Ndizi za kuiva zina a lot of calories na wanga ambavyo husaidia mtoto kuongezeka uzito. 6. Viazi vitamu navyo ni source nzuri ya calories na carbohydrates. Unaweza kumlisha viazi mviringo pia, ila viazi vitamu ni bora zaidi. 7. Mayai ni source nzuri sana ya protein and healthy fats, na ni rahisi kuandaa. Unaweza ukachemsha yai ukaliponda na kumlisha, best ukaliponda na kuchanganya na parachichi. Au unaweza ukasaga yai la kuchemsha, parachichi na wali uliopikwa, etc. Options are endless. 8. Nyama nayo ni source nzuri ya potein na madini chuma. Hakikisha mtoto wako anakula nyama (sio mchuzi) angalau mara 3 kwa wiki. Kama bado hawezi kuitafuna basi msagie. 9. Oatmeal nayo husaidia uzito kuongezeka, zina calories nyingi na ni rahisi kumeng’enywa na tumbo la mtoto. 10. Mafuta (healthy oils) kama avocado, olive and cold pressed coconut oil (ambayo hajatengenezwa kwa kuchemshwa). Unaweza kutumia mafuta haya kupikia chakula cha mtoto kusaidia uzito kuongezeka. As long as mtoto anakula a balanced diet tunategemea ataongezeka uzito vizuri tu. #lishe #babyfood #watoto #daktrariwawatoto #afya
Dr Joyce
Region: TZ
Wednesday 12 March 2025 09:52:19 GMT
Music
Download
Comments
nec :
mwanangu hata nimpe nn haongezeki uzito
2025-03-13 03:49:00
6
Hadija Hassan :
shukran dr
2025-04-17 17:13:37
1
ma brigtiii :
mtoto wangu hapendi Kula kabisa na akona mwaka na miezi minne
2025-03-13 00:59:57
0
mom azlan :
dokta samahn mwanng aanaend miez sab lkn kil nikimpelek klinik aongezek uzito xhida inawez kuw nn
2025-06-15 22:50:15
0
emanuelakimario :
na mimi mwanangu hapendi kula ana miezi9 nifantaje
2025-03-12 20:13:03
3
official ummu❤️ :
🥰🥰thanks alot umenipaa usaidizi mkubwa kwa mtto wngu aongezeke mwili🤝
2025-03-14 06:33:27
3
didah :
mwanangu anatatizo awezi kula chakula bila kukibrend nivizuri
2025-03-16 11:27:19
1
Neylee Alvin :
wangu haongezek miez 11 kachangmka vzr anatembea na vtu lkn ana 9kg
2025-03-14 06:10:12
1
user1210846343288 :
jmn mi mtot wngu ana mwaka 1 akila chakula chochote anatapika na ana kilo 7 na hata nikimnyonyesha pia anatapka jmn nifanye
2025-03-19 19:10:17
0
Queenie dior26 :
Wangu ako na 10 months na akuli anataste chakula na kutema nifanye aje
2025-03-15 02:20:49
0
jadekiss😘 :
Vyakula hivyo ni sahihi kuanza kumapa mtoto w an miez 5
2025-04-11 11:10:32
0
Lilian Mnyoro :
je navya kumjenga ubongo wake ni vip i wish kawe na high iq
2025-03-13 21:24:10
1
user8520999966327 :
mtoto wangu anatatizo lakutokula chakula chaaina yyte nfanyeje
2025-03-12 19:11:14
2
Rehema Mchory :
dactari samahani ni vyakula gani mjamzito hatakiwi kutumia kwaajili ya afya ya mtoto??
2025-05-20 12:43:31
0
hadija141 :
mtoto anatakiwa kula mayai mara ngapi kwa week .....
2025-06-10 19:15:02
0
Lidya Assey :
sawa dr aante kw ushauri
2025-04-18 22:50:55
1
Ma Farhan :
tuambie basi
2025-03-14 16:54:37
0
nec :
alizaliwa na kilo4 na nusu saiv ana mwaka ana miez7
2025-04-09 05:19:55
0
bahatilucas410 :
jamani mwanagu anakataa kula chakula chochote kile naomba ushauri jaman😭😭😭 anamiez8
2025-04-02 06:02:52
1
dadyAika :
napenda san kula mayai lakn huwa yananiletea shidaa
2025-03-16 11:32:44
1
nec :
ana miez10 sasa
2025-03-13 16:46:09
1
aggy tz :
mwanangu hali kitu zaiid ya chai na mkate tu
2025-06-30 16:03:15
0
Halima Tale311 :
samahani vyakula vya kuongeza kilo na vyakula vya kukaza misuli ni vipi
2026-06-22 10:28:51
0
user9261972802092 :
juzi nimepea mtoto wangu OVACADO aka fura mwili na kujikuna ako 6mnths shida n nn?
2025-06-09 18:06:56
0
Lilian Bosco :
dada tunaomb msaada
2025-04-07 11:04:00
0
To see more videos from user @drdada.afya, please go to the Tikwm
homepage.