@mshauri.serikali: Jitahidi uwe unaenda Mahakamani kusikiliza Kesi zinavyoendeshwa Ujifunze Sheria na Jinsi ya kujitetea na Haki zinavyotendwa. #MshauriSerikali #Tanzania🇹🇿

Mshauri Serikali 🇹🇿
Mshauri Serikali 🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 12 March 2025 10:23:53 GMT
132866
9742
954
342

Music

Download

Comments

user130532611380
Victor Meriani :
niliwahi cheka nikafungwa masaa 24 staki tena
2025-03-12 17:00:10
277
kingcomputertz
King computer tz :
Umeongea point sana kaka👏👏
2025-03-12 14:42:36
8
kevooficial
kevooficial💦 :
Ili nicheke mnifunge
2025-03-12 16:18:13
159
dimpouzhamis
BABA RAY,🏹 :
🤣🤣🤣Wazo lako ni zur ila nchi hii ukijpendekeza wenzio wanakupenda kweli🤝
2025-03-13 08:31:16
26
user576913086131
user576913086131 :
kweli kak
2025-09-03 16:42:20
2
tannyg98
MUFĄṢ̌3Ř :
mtuhumiwa wakat wa kujitetea anaaema 'sijafanya muulize yule pale' 😂😂😂
2025-03-13 16:24:11
2
shebyumeme
SHABANI YAHYA :
Nije bila sababu kesi inigeukie
2025-03-12 14:42:07
103
tanga_tanzania
TANGA TANZANIA :
😂😂😂 tutajifunza online kaka
2025-03-12 15:22:30
5
daily_miihbaden
daily_miihbaden :
jmn hapana🤣
2025-05-11 11:38:37
1
adamsthedony
Adamsthedony :
Wakiruhusu kucheka mahakamani mseme nianze kuja😀😀😀
2025-03-13 05:57:19
52
jiga_furniture.tz
jiga_quality_furniture.🇹🇿 :
😅😁😁😁mara paah simu Ina ita Inafungwa jela miaka 10 kisa umetembelea mahakamani
2025-03-12 16:00:49
37
user26359pyson
epson :
Jichanganye kwa mazoea kujiendekeza kwenda mwana kulitafuta mwana kulipata 😂😂
2025-03-12 13:25:02
22
official_sosy..50
Sossy🙂 :
lini twendeni😂😂
2025-04-18 16:04:14
2
shannyangelna
mom🌸 ahlam🦋 :
kuanzia leo tare 13/3/2025 naanza kwenda mahakamni 🤣
2025-03-13 11:24:23
10
manzyleah_17
manzyleah🇹🇿 :
nisije nikampig jaji mambo yakaingiliana 🤣🤣😅 kesi ikaamia kwangu mpira njia mimi Nina jazba sana
2025-03-12 19:26:04
5
simracingx
Rally Addict :
sim ikiita huko bro kinaumana hizi tecno zitatuchomesha
2025-03-12 14:51:09
6
deuxdepaix...255
ChrCh BØe💥 :
fananishwa sehemu yoyote ila sio mahakamani bro. u🤣
2025-03-13 20:49:55
2
kevvoondege
Kevvoo Ndege :
Mara paaap umefanana na Mtuhumiwa 😂😂
2025-03-17 14:04:11
2
dullymizozo0
Dully Mizozo🏍️ :
baada ya week zamu yako kwenda mahakamani kusimama kizimbani 😋
2025-03-14 19:39:35
2
_unclen9
#unclen9 :
nije mahakamani alaf sina uhakika wa ugali mchana ..bongo bahat mbaya2 🇹🇿🇹🇿
2025-04-02 20:08:48
2
vedasto48
Vedasto :
Sahihi kaka
2025-03-12 19:03:52
2
makedow432
Myron :
why kuinama halaf unashika gamba braza??
2025-03-14 12:05:10
2
blackqueen7113
Scorpio ♏️ Queen 👸 :
mmh mimi najijua kwa huu mdomo niliokuwa nao walahi nitafungwa siku hiyo na kesi siyo yangu 😁😎 we siwezi najikuta tu najibu
2025-04-12 14:00:23
1
To see more videos from user @mshauri.serikali, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About