Ila kuwinga ni kugumu jmn 😇😭imagine jamaa anasimama sio chini ya masaa tisa kwa siku afuu mtu akikuongezea 3000 unalalamika ni kubwa jmn huruma tu ile mtu kusimama kaa hivyo aisee
2025-03-13 14:07:01
5
herryson :
yeah ni fighter cz maisha bila kufight unafeli
2025-03-13 09:38:08
7
Baddie_Starr™ :
Leo sjui ana kitu gani familia 😭💔😂Au kachekecha lkn amna kitu
2025-03-13 07:57:47
3
ediwina medical :
Avae bas ata surual ndefu yey na vipens , vipens na yeye
2025-03-13 06:24:54
1
Uncle_Muscle :
Hivi huyo ni mlemavu wa miguu maana leo nimemuona anavotembea sio kawaida🤔
2025-03-12 19:52:04
3
rukia :
😂nilikuwa nataka nguo alinitembeza kaliakoo nzima mpk kwa mama ntilie kule siji kusahau😂
2025-03-13 03:19:37
3
fau :
magazeti😂😂
2025-03-13 13:21:36
1
Trinah Pasco❣️❤️ :
yaan nataman nikutane nae siku😂😂
2025-03-13 15:25:52
0
YOHANA NDATURU :
ndyo mnampaisha iivo mwamba msje shangaa anaanza kutengeneza pesa kuwaliko😂😂😂 ila mpaka astuke sasa
2025-03-13 10:43:39
1
pretty renee🍒🦋🌹 :
mi sijawai muona live jmn 😁
2025-03-13 12:55:43
0
bruno_dance_661, :
ila jamaa anakuwa staa kiutan utan iv kila ukpta lazma uone watu9 wamempost na mwenyew hajuw
2025-03-13 18:43:44
0
Eddo...🛜 :
Anatafuta kichwa kimoja tu apata ela ya chai😄
2025-03-13 07:55:13
1
Deeofficial🖤 :
mbn video nyingine anaonekana mweupe😂
2025-03-13 17:24:47
0
Elia Boniphas :
Tozz😂
2025-03-13 06:31:39
1
evansiagusti :
apo aelewi
2025-03-13 16:50:06
0
Sait 🔵🔴 :
Huyu msenge mtamuua
2025-03-13 16:15:26
0
kim Jojo 💫 :
mwambie nampenda
2025-03-13 15:21:32
0
madede :
kumbe familia .....pambana mwanetu
2025-03-13 14:58:40
0
Lucy sign art :
nipo na wewe mpaka unibrock winga mwenye miguu yake miembamba 😂
2025-03-13 14:16:25
0
To see more videos from user @mambrayd2, please go to the Tikwm
homepage.