@hamasikatv: Usioe Mwanamke mwenye mtoto - Roy Sarungi Eti ni kweli mwanamke mwenye mtoto hafai kuolewa? Nini maoni yako kwenye hili! Video ndefu nimekuwekea Youtube bonyeza link kwenye bio au search Hamasika Tv #hamasikatv #badilishamchezo
UKWELI NI KWAMBA MWANAMKE MWENYE MTOTO HUOLEWA ILI APATE UNAFUU WA MAISHA APATE WA KUMUHUDUMIA HANAGA UPENDO WA KWELI
2025-03-13 12:32:44
91
fatimamadini🧿 :
Sasa mabinti wa 20’s msizae kabla hamjaolewa mjifunze manaona wenzenu tunavyosimangwa?? Tumekua kama special group 😂💔 !! Naomba mkazie ili watoto wa 2000 wajitunze msizae tubaki sisi wa Mfano 🙌🏽
2025-03-13 20:16:37
73
Jamal jaloo :
mzee huna busara ww n mjinga
2025-03-13 13:09:00
10
ngoningonnile :
wanaume hatujui kwamba unapooa mweny mtoto laiti asingekuwa nae huyo mtoto asingekukubali
2025-03-13 17:19:19
27
bby doll :
watu wamejam huku🤭😂😂🤣
2025-03-13 18:34:02
0
05054443344 :
mbolo yenyew huna kwendaaaa😂😂😂😂
2025-03-13 19:41:08
12
Mc Mr Ticha🎤💉 :
NILIJICHANGANYA MIMII DAAAH
WANAUME MSIJISUMBUE KUOA SINGO MAZA HAO NI MAJAMBAZI
2025-03-13 13:34:45
82
Anna ngaa :
na ilo likitambi lako nani anakutaka
2025-04-10 12:02:34
0
chocolate and caramel 👌🏾❤️❤️ :
Kwanza kwa sura hiyo nan anakutaka bhana tumbo kama kapu la mavi hela yenyew anaonekana hana kila secta hayumo nan sasa aolewe naww 😏
2025-03-13 18:04:26
34
zamdacut :
huyu mzee msengemsenge
2025-03-14 13:42:35
0
EMMANUEL 💥 :
HATU OI WAKE ZA WATU 😂
2025-03-14 05:28:45
386
ianwachugga :
mm naoa single maza ambaye mume wake alishafariki ila kama yupo HAPANAA
2025-03-13 16:39:42
11
zecha the boy :
mzee weka number hpo nikutumie soda mmi siwezi kuoa mke wa mtoto
2025-03-13 16:40:48
24
@MR MKETO :
😅😅😅😅😅😅😅😅mimi nitaoa ila kwa shart awe mjane tu basi
2025-03-13 11:51:59
5
Digo boy :
Mm ata salamu sitaki za single mother
2025-03-13 18:37:49
8
kapela :
kweli hatuwezi kuunganisha koo tatu
2025-03-13 07:51:44
9
Bone :
safi sana sasa hivi ubaya ubwela
2025-03-13 14:54:17
8
J :
Hatuoi single mother😁
2025-03-13 17:00:22
21
Chris william :
🤣😂Nan aowe huo uchafu sasa
2025-03-14 07:01:46
2
King F🅰️h🅰️d💭 :
Kuowa Single mather saw sawa na kula mfupa ulo mshinda Fisi kmamake
2025-03-15 07:01:38
3
BANYOVIC JR 10 :
hata kama uyo mtoto ni Wangu never😅😅😅
2025-04-17 18:55:09
1
@promax✨ :
hata wanawake wenyewe wanashauri usioe mwanamke mwenye mtoto
ushauri huo wanatoa kwa kaka zao 🤣
2025-03-15 14:53:31
2
👑YAHYA MADMAX👑 :
labda huyo babake awe amekufa na ampeleke kwa family ya huyo babake ndio tuanze second leg
2025-04-19 23:45:12
1
ENDOFTIME✝️INJILI YA MWISHO :
Mtumbo kama chura huyo binti utamtoa wap
2025-11-20 23:28:05
1
Babu Ema :
mimi nimeoa mke mwenye watoto wa wili na yuko vizur kuliko wa kwanza niliyeoa ambaye hana mtoto hata mmoja
2025-03-14 03:36:49
3
To see more videos from user @hamasikatv, please go to the Tikwm
homepage.