mm dada yangu ndio adui yangu namba moja ni mtu anae penda anguko langu kila siku tuna mwaka sasa hata salam hatupeani nadhan mama yetu huko alipo anasikitika sana 😭😭😭😭
2025-03-14 16:52:01
29
bintyhamid🎀💝 :
I wish i had a big sister🥺❤️
2025-03-14 09:10:37
43
Barbara anifa :
mim ndio mkubwa ila nimetengwa niko pekeangu kwenye hii dunia mim na mwanangu tu ndie mwenzangu niko gulf naishi kama yatima rafiki yangu mkubwa ni tiktok sina wakuongea nae nipo nipo tu.na sijui kosa liko wapi pesa ya saudia walikula wao sahii niko Lebanon hakuna anaeniongelesha nyumban majirani wananiambia mbona naskia ulilipuliwa na bomb huko uko wapi ila allah yupo nalia na allah pekeee😭😭😭😭😭😭.natamani nipate dada hata wa kando nyie naumia sana.
2025-03-17 10:59:35
21
r@hm@🌹 :
Pumzika dada yang Allah akupe kivuri ktka kabur lako 😭😭😭
2025-03-14 21:46:23
30
MALIKIA STYLES :
sisi wadogo zetu wanatuona mavi. licha ya kuwachukulia vizuri
2025-03-14 09:14:29
36
🥀Zuhura🥀 :
Tunabeba mengi ila hawatambui tu😭
2025-03-14 23:33:30
18
daluu :
Dada hawathaminiki yaani ukishazaliwa wakwanza kwenye familia ni mateso na simanzi tu😔Allah atupe nguvu na subrah
2025-03-14 06:28:16
24
Hanan Abdirahman :
I love this sheikh anaitwa nani jamani🥰
2025-03-15 08:30:37
10
malkiak :
mwenyezi mungu amlaze dadangu pahali pema peponi 😭
2025-03-14 02:46:19
11
Mariam Magila :
yarraby mrehemu dadaangu mlaze pema palipo na wema peponi 🤲
2025-03-16 12:31:42
12
Hajra 🍓 :
Nifundishe kunyamaza🤣
2025-03-14 09:07:31
13
bosslady :
ALHMDHULILAH.... YA Rabbi.. Nijaliee hekma, Busara, N Neema,Nisiwai choka kuangalia wadogo zangu 🤲🤲🤲
2025-03-14 22:26:42
5
asharamadhani97 :
Dada yangu allah akuhifadhi akujaalie ridhki na afya licha ya hiki kiburi cha nduguyo hujawahi acha kuwa karibu yanguu.😘🥰
2025-03-14 19:45:23
6
Hawa Saleh :
mashaallah alhadulillah
2025-04-05 04:28:17
1
Azadi djuma :
❤️❤️❤️🤲🤲🤲saaaaana
2025-03-26 07:02:29
1
Aminaa :
nampenda dadangu mkubwa 🤲🤲🤲
2025-04-17 20:37:46
2
Salimo Da Amina :
Allah Akbar
2025-06-05 11:53:52
1
sitijuma34 :
jazaka Allah kher
2025-03-29 21:20:34
1
nujlati :
Nakupe bure sheh unaongeaga vitu nature🥰🥰🥰🥰😘
2025-04-25 05:46:01
0
🙏 :
Mimi ni dada mkubwa ila wadogo zangu wao ndo wanataka wawe wakubwaa,,,wananigombanisha na mama ili mama asinipende,,mpaka mama kanitoa kwenye list ya watoto wake saa hv nipo sina ndugu
2025-03-21 07:35:02
2
yahyaOsman🇰🇪 :
But sio madada wa sasa ivi🤝
2025-03-15 06:08:48
2
rahmajumanne255 :
Kweli kabisa
2025-03-20 15:38:22
1
mamake zu :
Allahamdullilah 🙏🙏🤲🤲ungekuwa unavuliwa ukubwq ningeuvua vile ni nimechoka .,,,mungu nipe subra yarab😢🤲🤲🤲🤲
2025-03-31 11:29:14
1
Smile Queen 👸 :
Mungu azidi kuniweka kwa ajili ya mdogo wangu❤️
2025-03-20 15:40:19
3
To see more videos from user @mrreminder001, please go to the Tikwm
homepage.