@director_pasar: NDOA EP 8 IKO HEWANI YOUTUBE @💍💍KIDUCHU💃💃 @DULY BIG #highlight #follow #everyone #fyp #swahilitiktok #africantiktok #bongomovies #moviescene #movieclip #bongofuntiktokers #tanzaniatiktok #ndoa #ugandatiktok #congo #highlight #follow #fyp
DIRECTOR PASAR
Region: TZ
Friday 14 March 2025 14:03:51 GMT
Music
Download
Comments
Aisher Yunusy :
anajifanya kama manyanyaa😂😂😂🤭
2025-03-14 16:45:32
72
Twins trends tz :
Makabila yote ambayo wanachezwa ni lazima uvalishwe SHANGA kijana,mimi bila shanga siwezi ntajiona kama nyoka
2025-03-14 16:04:39
168
innocent girl 🥰 :
ila uyu kaka me aniboa kwahyo haelew kama kiduchu ana upwiru 😏😏
2025-04-16 13:36:15
116
ABD✌️ :
Shanga wanavaaga wachawi
2025-03-16 11:04:30
82
ROYAL :
tulio stopisha video like hapa🤣🤣🤣
2025-03-15 14:08:12
61
Gift :
xiyo kwel xhanga kwa mabint utengeneza shepu
2025-03-14 15:11:34
85
Supriya :
Kaka nimempenda bure wanaume woote wangekua kama yy mashaallah tungefika mbali
2025-04-17 12:39:22
113
Nadia blanche :
Banaume bote kama ni ivi vraiment félicitation kaka yangu
2025-04-15 10:58:43
45
Barbiemiey :
Uyu nae ni umalaya kilicho mtuma atizame kiuno cha Shemeji yake ninani …😏 Alf anampangia ety huna nyok huna nyoko Kwan uwaga anatembeaga nae Kwenye safali zake
2025-03-15 12:59:46
28
Ocs Wa Ndeiya :
mwambie aje kwangu kazini
2025-03-14 14:51:18
29
🌹princess🌹 nurkon🌹 :
najua shemej anaelewa vizur ila anamuona kiduchu mtoto😂
2025-07-23 14:03:10
6
Michael Tz7⚽🇹🇿 :
napenda mdada ane vaa shangaa❤️❤️
2025-04-17 08:33:14
18
Sophia beautiful ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤ :
nilivalishwa nikiwa mdogo tuu ila kwasasa hata kwa baadae siwez kuvaa shangaa
2025-07-11 10:31:19
7
Alexis Ismael :
uyu djama tuna munvumiliya sana toka apa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-05-27 13:23:43
9
comba :
huyo kiduchu mletee kwangu naona anahangaika ty nipo kigamboni
2025-04-19 12:06:05
5
ALPHONSINE A.A.A :
Ona macho ya biti ina Lewa.kimapenzi ni musharati sana
2025-04-16 13:27:19
5
Dominique :
mara iyi boro niya kiswahili lakini ni grand boro, tuta ipata wapi hiyi
2025-04-25 17:05:37
5
opérateur :
le titre svp
2025-04-16 15:58:44
12
Alekeyh001👊💯 :
kiduchu kazuri jamani😅😅😂
2025-04-17 15:15:15
14
scholarMagubiko :
na sisi tulie valishwa toka tuna siku moja dunian,, imekaaje iyo mana ad sasa siwez kuish bira shanga
2025-03-15 08:16:17
28
Bayoulé :
c'est le ningala où quel langue ?
2025-03-30 00:18:45
11
Chikitita101 :
Kulikua na haja gani shemeji kumpa somo la shanga binti?Kwanini usipite tu na yako😂😂😂
2025-03-14 15:35:13
17
Common mwananchi :
Kiduchu looks more beautiful than my first Ex 🤣🤣
2025-03-21 06:58:46
46
zee🥀♥️♥️ :
kipaji unacho kaka umejua mpaka umejua tena mungu akuinue zaidi
2025-03-14 15:47:58
9
n@n@h :
jmni mabinti hazituusu n pia ukivaa finika zisionekneeeee
2025-03-16 00:51:18
8
To see more videos from user @director_pasar, please go to the Tikwm
homepage.