@blaxstore175_hq: Namna ya kutumia line mbili kwenye simu yako hata kama ina physical port moja ni kupitia mfumo wa ESIM ambao hauhitaji Kupachika laini ndani ya simu✅✅

Blaxstore175_HQ
Blaxstore175_HQ
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 15 March 2025 12:35:50 GMT
1145416
37881
777
2008

Music

Download

Comments

pelina_dyaga
PELINA DYAGA :
MBONA MIMI HUWA SIFIKISHWAGI KILELENI 🥺💔
2025-03-16 19:54:45
7
lenadmshana2
lenadmshana7 :
esim unapata play store??
2025-03-17 11:00:30
15
michdady1
michdady1 :
Daah mm nimeweka esim na Lain nishatupa hapa nawaza sku nikibadilisha simu nitaamishaje esim 💔
2025-03-16 21:58:44
28
user3026009332067
user3026009332067 :
jamanniii hiii kitu ni kweli nmetoa lain lkn cm ikpgwa inaitaaaa
2025-03-15 16:51:39
4
jay.home4
jay home :
sio kwa sim zote ila kuanzia Samsung s21 had 25 ultra na pixel kuanzi 6 ad 9 yan unaweka lain moja kisha nyingne unaenda ofice ya mtandao wwt unaotaka unawapa namba unayotaka isome
2025-03-15 17:50:26
15
nedlog_vinemax
Nedlog_tips :
acha uongo haiitwi electronic sim card, unadanganya watu kipuuzi. kama hujui nyamaza tu
2025-03-15 13:54:56
20
dxefex
𝔻𝔸ℕℕ𝕐 𐂃✰. eFootball :
eSIM stands for Embedded Subscriber Identity Module. aache uongo
2025-03-16 07:08:17
13
wakoutah
Given Wakota :
w unaye soma comment kmy kmy naomb tuw marafik
2025-03-17 18:02:38
18
kimambo72
Belarus :
simu ya lain mmoja Aina e Mai number mbili kijn
2025-03-17 12:13:47
0
soka12345566
AutoProTech&Service :
tunajuaa mda mrefuu
2025-03-17 04:47:06
0
naaplat2
ŇÄŠŘÄĦ♑️🧸 :
Nyie hamjaelew😂 kama simu ina support esim unaenda kwenye mtandao husika kama yas,airtel,au voda wanakuungia 🤣🤣🤣et playstore jmn🤣
2025-03-18 08:22:18
3
mungu551
Nkunzimana Urimwengu :
mtakuja kuharibu sim zawatu
2025-03-17 17:51:45
1
wandwi.john
WA.. ND ..WI😎🥰 :
tunaipateje hiyo simu
2025-03-17 19:43:00
0
mtaki2020
malebo mtaki :
good morning
2025-05-22 03:30:04
1
loveness9823
loveness :
mbona ipo miaka mm cm yangu Toka 2018 sijawai kuweka line Toka ilivopotea
2025-03-18 09:06:39
2
mangi_wa_rombo
Mangi :
Sio kila simu ina e sim
2025-03-17 17:15:27
2
i_panther99
panther :
kka umekosea kidogo eSIM sio electronic Simcard bali ni Embedded Simcard
2025-03-16 16:50:07
5
linkpesa.app09
MAKE MONEY ONLINE :
Bro uko vzur kuifanya video iwe ndefu 😂weka point tuko nje ya muda video n nying bado hatujaangalia
2025-03-28 11:33:09
2
cherlypound
🌸~Cherly Pound~🌸 :
jinsi ya kuset zisome mbili sas?
2025-03-16 16:58:22
0
dxefex
𝔻𝔸ℕℕ𝕐 𐂃✰. eFootball :
mshikaji muongo sana uyu kama kitu ukijui nyamaza boss
2025-03-16 07:06:43
4
daudimateru
daudimateru :
ebu nielekeze simu ukiwa umewasha data haioperate ila wifi iko vzr
2025-03-16 10:01:16
0
wakaki.guitar
wakaki guitar 🎸 :
sm yangu ni Redme not 10 pro nimeandika hizo namba kweli wameniletea ma imai no 2 zimejirudia mala nyingi xaxa swali nikwamba naiungaje?
2025-03-17 02:26:51
0
petrorebatus
abdallah :
yangu imeleta IMEI number 1 afu ikaleta Meid 2 ambayo ni HEX na DEC
2025-03-18 15:38:02
4
neroli45
Nerol🦻 :
tulio jaribu jamani
2025-03-15 23:26:00
0
atkins0128
nasajak :
muongo wewe
2025-03-16 07:40:50
0
To see more videos from user @blaxstore175_hq, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About