I wish I knew this 15years ago but ashukuriwe mungu he is a restorer 😏
2025-03-17 20:29:38
67
Nyiti.jacky :
ukweli mchungu ndo huu sasa
2025-03-17 07:07:44
201
Giraffe 🦒🦒 :
Nimekuskia lkn sifanyii kaz sorry 😞
2025-03-17 13:28:55
48
💕ms.vibez🍹 :
Thanks GOD I heard this earlier ❤️Glory to jesus🙏
2025-03-17 14:51:05
118
safecate :
Kauli mbiu ya Mungu ni bora kufa kuliko kuvunja sheria zake,,so take it seriously kama ataenda aende ubaki na Mungu
2025-03-19 07:53:28
43
Pamela Duka :
Kuna watu watabisha
2025-03-17 16:15:19
10
Nazareth Rumonge 🇧🇮 🇧🇮 :
Hallelujah glory to God kuko Ata uhwanye nawe mwami data watwese wo mwijuru 🙏🏻
2025-03-18 21:23:26
8
__COOLGAL 🎀 :
clear mind can understand ❤️bitter truth
2025-05-04 14:08:11
5
salome chuwa :
👏👏Mtumishi unaongea kitu kikubwa sana na cha ukweli kabisa.
uzinzi ni hatari sana
2025-03-19 18:16:21
6
Sam boy :
kama Yuko sahihi gonga like ap
2025-05-08 08:06:18
65
Melki 🐲🐉 :
co kwamba simuelew akn kwakwel siwez kufuata kila kinachosemwa kila mtu, suleman alivua destiny yake kwa wangap 🤣🤣🤣🤣 af saiv kuna ushog ndug unaweza kuwakwepa wadada uka.... Read more...
2025-03-19 21:37:43
6
martinez :
Sorry GOD we have sin a lot Tusamehe MUNGU tupe mwanzo mpya Naku is hi maisha matakatifu cause unatuwazia mema tusaidie kutukumbusha kujilinda
2025-03-17 21:42:38
19
ME..🕸️🕷️ :
Destiny ina nguvu zaid kwenye maisha kuamua value na vision machoni
2025-03-17 11:57:11
40
Salma wangu 🥰 :
fact bro
2025-03-18 21:09:04
5
isaya NJOMBE :
mbn kama saut ya Paul vile yule mwimbaj wa gospel
2025-03-19 05:17:21
9
Mr adrenaline :
skuiz na wao wanavua surual sio skirt tena🙃
2025-03-17 10:01:48
22
favoured.naipa☺️ :
too late😢😢
2025-03-18 06:16:23
12
@IamWhiteHair♊️👑 :
Clear master 💪
2025-03-17 15:40:01
7
Africa beauty 🌹💕 :
ogopa church boys akkwa abakjshaur kama mtu vile
2025-03-18 18:27:07
10
mbishi asiejua :
yani wana wake wasasa hivi anaweza kuku onesha msimamo hadi uka hisi huyu ndo mwanamke ila kitukidogotu kina halibu thamani yake pesa navitu vidogo tu
2025-03-17 12:39:27
11
To see more videos from user @letstalkshowtz, please go to the Tikwm
homepage.