Maeneo nliokaa Mwanza Rufiji(town kati),Usumau,Igombe,Kilimahewa,Nyamanoro,Kiroleli,Isamilo,Ghana,Mjimwema,Mihama,Nyegezi,Mkolani,Darajani,Furaha(ya Buhongwa), Buhongwa na Kigoto Bado wilaya nyngne😂
2025-03-17 15:20:00
5
🦋✨ camillah Mendes 🧸💫 :
home sweet home jiwekuuu mwanza
2026-06-04 20:15:48
1
NDAKI jr :
waambie hao wasabato hapo ksnisani nime wa mis
2025-03-18 15:04:14
4
Vn🛣️ SGA🤞🔥 :
hap n jiwe kuu
2025-04-07 21:56:14
3
ahmed l :
mwanza jiwe kuu
2025-03-18 15:53:48
2
Zuhu76 :
jiwe kuu
2025-05-11 13:31:42
2
OFFICIAL KHAN :
Jiwe kuu 😂😂
2025-03-20 12:37:24
2
MY GOD🙏🙏💯👈 :
apo umeniuza kabisa sijapapata
2025-03-17 16:43:05
2
landlayladslaus :
jiwe kubwa apoo
2025-03-20 17:33:11
3
mecky petro :
kabla haujatoka huko tufanyie na ya mnala wa mv bukoba
2025-03-20 12:28:02
2
regna jb :
jiwe kuu mwanza bwiru
2025-03-18 09:14:55
2
theonly-Mrs Magoha_Ven🇷🇼 :
jiwekuu huko
2025-04-01 02:46:05
3
Samuel John :
hapa watu wanaomba sana tuliwah piga hema hapa mwezi wa tatu ingie tengwa tv yalikuwa ya mkesha 🤣 mchna wanaanika dagaa vby mno usiku sisi tunalala