@fugakuku: Tunazo Cages za kuku 96 na kuku 160. Ofisi zetu Fugakuku zinapatikana Tegeta Nyaishozi, Bagamoyo Road, Dar es salaam #fugakuku #kuku #chicken #kukuchotara #lovechicken #mifugo #ufugaji #

fugakuku 🐣
fugakuku 🐣
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 March 2025 08:31:57 GMT
368539
7039
391
2146

Music

Download

Comments

user4057729991019
Life story :
Sasa mnapost biashara bei hamtoi mkiulizwa hamjibu au ni maonyesho tu? Weka na bei
2025-03-19 12:55:19
15
cadillacofficial
Mission Complete 🇰🇪🇦🇪 :
how much hii
2025-03-19 08:51:23
0
jackilinearon5
jacklinearon5 :
uko wp
2025-03-20 11:30:31
0
yascoguidezanzibar
yasco guide zanzibar :
Wek bei dada
2025-03-19 12:47:52
4
eliakimsando
Eliakim sando c :
Ukinunua za kuku elfu moja kuna discount?
2025-12-30 12:30:08
1
frankfashion4
@frankfashion :
mkiona hawataji bei mjue ni wapigaji hawa😂😂😂
2025-03-20 06:36:01
2
xyb9874
xyb9874 :
Urefu na upana wa cage moja ni kiasi gani?
2025-03-19 13:14:12
0
winfridawilfred19
winifridawilfred :
Je mna ya kuku wachache kama 20 au 50 hivi na ni bei gani?
2025-03-20 12:08:20
0
ratibkhalifan
Ratib Khalifan :
nimekuelewa
2025-03-20 09:40:00
0
halithleey0
Halith leey❤ :
Vipi za kuku wa nyama broil mnatengenezaa
2025-03-20 06:54:32
1
da.king.without.c
Da king without 👑 :
Bei gani?
2025-03-20 06:32:14
0
theclamarealle
THECLA MAREALLE :
tuna wasiliana kwa namba ipi sema bei ndugu
2025-03-19 18:15:00
2
amonheryzelote
Amonhery Zelote :
bei yake
2025-03-19 17:40:30
0
yodawgsony
malley Vanessa :
niko Arusha napataje
2025-03-23 18:05:52
1
0615508985junior
@Pilato Jr🤠 ⚖️ :
Kutangaza biashara Bila bei inaudhi wenye uhitaji
2025-03-20 06:42:12
5
user1772269482587
Ange :
imefika dje apa congo?
2025-05-03 14:31:36
1
alreyamiytz
خلفان 🇹🇿 :
kuna Mtanzania aliwahi kufanya biashara akaweka na bei sku yapili akafariki
2025-03-19 18:52:43
2
lizmaji1
lizbethmaji :
hapo si wananyeana tu wa juu anamnyea wa chini au inakuaje
2025-03-20 09:45:14
0
livingstonanton
Livingston Anton :
bei gani kejii
2025-03-21 08:54:26
1
nyaj.bakery
Nyakalo Bakery :
sasa inasafirishwaje watu wa mikoani?
2025-03-19 09:58:25
0
amanmongi73
MONGI INTERNET :
how much
2025-03-19 16:47:39
1
jackilinearon5
jacklinearon5 :
kiasigani dd
2025-03-20 06:39:17
1
mackrina67
mnosy title :
Sasa vifalanga wanakaa umo kwer
2025-03-19 12:57:33
0
sangadr123
geonitha :
no zenu,nahitaji cage
2025-04-01 10:10:53
1
hidaya.salim2
Hidaya Salim :
huwa mnatangaza biashara mkiulizwa bei hamjibu sasa inamana gani yakujitangaza
2025-03-19 12:20:16
4
To see more videos from user @fugakuku, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About