@scopemediatz: Bondia wa Ngumi za kulipwa @hassanmwakinyojr akizungumzia tukio la kijana aliedai kuwa amejeruhiwa kwa kupigwa na kukatwa na kisu na Mwakinyo na kufunguliea mbwa walio mjeruhi pia kisa kuokota nazi zilizopo nje ya fensi ya Bondia Hassan Mwakinyo. Cc Ayo Tv (YouTube) #scopeboii #ScopeMedia #kariakooderby #alikamwe #fyp #f #sports #tiktoktanzania🇹🇿 #yangasc #dubeyanga #mwakinyo #hassanmwakinyo
Scope Media
Region: TZ
Wednesday 19 March 2025 11:00:08 GMT
Music
Download
Comments
WAKUSAFA TZ :
oya sheria ni hileile mwizi anapigwa pakakufa "
2025-03-19 15:15:42
4
EMMANUEL UNIFORMS SUPPLIERS :
dogo badirika umarufu nimaisha ya muda sisi tumecheza ngumi kabda wewe ujazaliwa gumi hujaanza wewe mdoangu nawewe si bondia pekeako
2025-03-19 19:11:20
2
ASAP NICHE :
umeongeah points bro iko waz kabisa ndo maana utapeli ni mwingi mikoa ya pwani
2025-03-19 18:27:28
3
dullahabood0 :
unaufarume gani mbwa wewe mvunja Kuni
2025-03-19 19:50:46
1
OG :
Kwa heshima apo yenyewe Champenzz,
2025-03-19 23:08:47
1
James Jimson :
una ufalme ipi sasa ,,shida unajikutag staa kuliko uhalisia
2025-03-19 21:38:05
2
@momy💋 :
ila mwakinyoo mzurii
2025-03-19 22:05:23
0
user2759725236875 :
hla bondia haruhusiwi kupgana
2025-03-19 23:20:50
0
giftially19 :
we fala2 boyawe
2025-03-19 11:12:07
0
user37966917661340 :
ukwel kabisaa kaka Tanga tumezid mamwinyi sanaa aisee pambana Hassan
2025-03-19 17:41:08
1
user.Abdallha mmaya :
uyu mwakinyo sio mtu mzul wew mwizi umkate miguu alafu unaongea pumba
2025-03-20 11:36:00
0
Nako2Nako :
apewe mauwayake unafki tuache
2025-03-28 08:16:31
0
kinto Boy :
kwan ww ujawah kuiba fala ww
2025-03-27 11:39:33
0
deusmusicenjoy :
Ongea yake ya point ina upana mkubwa inaonesha ni jinsi gani haiwezi fanya ufilangoto wa kishamba hivo
2025-03-21 22:42:25
0
Alua Haji :
huna lolote mfalme gani una roho ya kinyama
2025-03-19 21:18:09
0
@fordlucas :
kudadeki yaani mm swezi pigwa na mtu eti kisa bondia namchakaza dakika 0
2025-03-19 13:23:51
0
lemamolelilemamoln :
uwondukweli
2025-03-20 18:02:26
0
EMMANUEL UNIFORMS SUPPLIERS :
arafu gumi za mtaani si za ulingoni mdoangu ngumi za mtaani nivita usijidanganye kua ubondia ndio utampiga kira mtu utakuja kuwawa mdoangu
2025-03-19 19:13:42
1
big mapiano :
kakusingizia tufanye
2025-03-19 20:37:47
0
the village blender :
umeongea ukweli
2025-03-19 20:49:24
0
Chief Unai2017 :
kuja huishi mwanza huku akunaga mbanga zaivo
2025-03-19 22:05:42
0
QF MEDIA :
asilimia 100
2025-03-27 12:58:09
0
kihedu :
ndugu tupo pamoja hapo kuna urafiki wa kinafiki.hayo inayoongeza ni sahihi maana hata mm yamenitokea na mm ni mtu wa Tanga
2025-03-19 21:09:13
0
ABDULHALIM ALI :
una taka kuongea nini tajirii
2025-03-19 21:08:36
0
abeltallman❤️ :
wewe unawajua mbwa kwel au unaongea tu?
2025-03-19 17:46:46
0
To see more videos from user @scopemediatz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.