@xenxational1: Nyie hizi abaya ni balaaaaa na eid hii mashaallah Mashaallah nzuri mnooooooo kutoka uturuk yan ataepata amebahatika sana Wanawake tupendezeeee yan hakikisha eid hii unapendezaaaa yaaan upendeze haswaaaa Mashaallah nzur hadi bas Tunapatkana kinondon studio Call/wasap 0712 871 984

xenxational
xenxational
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 19 March 2025 12:29:31 GMT
212468
3749
202
453

Music

Download

Comments

naikah4
𝗻𝗮𝗷𝗷𝘆𝗰𝘂𝘁𝗲 :
🙄🙄🙄lak260 Yule mdigo sijui kama ataelewa🤣🤣
2025-03-20 18:07:51
3
princessmagwissah
꧁❀Princess Magwissah🍒 ❀꧂ :
Hii white yke ipo?
2026-03-04 23:34:14
1
hapyy556
💞Rahima💞 :
Hatuna wakutununulia uwezo wetu mwisho50tu tutaishia kuonaa tu
2025-03-24 21:22:46
1
tangomike0
Golden Heart :
2026-02-28 08:31:17
0
atsshiya.rj
Atsshiya Rj🦋🦋 :
Ungekua unawek n bei mpenz
2025-03-19 12:40:51
3
amina.nawab7
Emmy🦋 :
Zile zakariakoo Kama 😂
2025-03-25 17:33:03
1
saidath.nadhiry
Saidath Nadhiry :
bad zipo
2026-03-13 15:19:13
0
najmah09030
Najmah🌸 :
Wakiweka bei mnitag niko pale
2025-03-19 16:37:47
1
rekha_moh
🦋Rekha_Moh🦋 :
sasa c ungekuwa unataja na bei
2025-03-19 14:57:47
0
rahmarkasongoro1
Rahma R Kasongoro :
bei gani?
2025-03-29 08:21:49
0
mwanaishaali396
macedonianquen :
kenya shilling ngap
2025-04-27 13:28:28
0
amina.hassani50
Amina Hassani :
usinichekeshe mi pia nina mdigo nawaza pia namuanzaje
2025-03-28 16:33:26
0
mariam.muhsin
Mariam Muhsin :
Bei yake dada
2025-03-28 16:42:15
0
zuu2768
zuu😍 :
mpo wapi
2025-03-29 10:42:48
0
thebeutsia
the beut sia♥️ :
andik bei unaongea sn kipenz
2025-04-05 12:26:11
0
sakina.sakina05
Sakina Sakina :
shilling ngapi
2025-03-28 21:08:35
0
halimahussein3706
halimahussein❣️ :
laki ngp naweka hela ya kiwanja
2025-03-29 21:15:18
0
tangomike0
Golden Heart :
kama hii hapa inapatikana kweli
2026-02-28 08:31:04
0
alayah550
Alayah :
how much
2025-03-26 19:36:04
0
nactegwa.lombo
Nactegwa lombo :
bei
2025-03-26 12:10:39
0
hawa.collection_
hawa_collection :
Ntapata hiyo ya papa
2025-03-27 18:34:41
0
abusuun4
ɓĺìx̌x̌ÿ-șpìçè✨️ :
wapi
2026-03-15 07:59:31
0
naahwise6
naah-wise :
Tatizo wafupiiii hatuvaiiii yooo 🥺
2025-03-27 09:51:30
0
user1971967105398
innocensia24 :
yanauzwa bei gani kama hayo
2025-03-27 09:39:12
0
zalfer24
Cute_lulu_06 :
Bei bei bei bei tuekeee bei ah
2025-03-19 15:17:59
0
To see more videos from user @xenxational1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About