@hekima1012: WANAUME HUU NDIO UGONJWA UNAOWAUA WENGI

hekima1012
hekima1012
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 20 March 2025 10:56:33 GMT
438818
4407
241
1473

Music

Download

Comments

manaikisanga
Manaiki Sanga :
usitutishe mzee kwani wewe utabaki milele 🤭
2025-03-20 17:55:08
5
manenofabian
manenofabian :
kweny kukojoa hapo uongo inategemea umekunywa maji kias af mda huo kun hal gn
2025-04-01 18:50:55
2
kikomarz
kikomarz :
mi mkojo hauishi ni Kama unabaki baki
2025-03-20 18:39:38
4
juma.babaa
Juma babaa :
boss mi nakunywa maji mengi usiku wakati wa kutoka gym ila kuanzia usiku ndo nanda sana kukojoa ila mkojo wangu una presha sana iyo vp iko sawa?
2025-03-20 17:48:42
3
complex755
complex75 :
mimi nakojoa mara nyingi sana ,dalili ya kwanza hadi ya nne ninazo,lakini sina tezi dume
2025-03-20 18:24:38
3
khalusha76
khalusha rashid :
Kukojoa kama haukunywa maji bro
2025-04-04 01:55:58
1
user55684570040140
mayasa :
mim mume wangu anayo na pia akikojoa mkojo unabaki
2025-03-20 17:13:39
1
abdirizak087
abdirizak087 :
Dawo ni ngabi
2025-04-15 08:08:10
1
said.hamisi98
Said Hamisi :
nakupataje boss
2025-04-01 06:59:20
2
celestinbyamungu
Celestin Byamungu :
iyo yadamu njo sijafikiya ila iyoingine nimefikiya unanisaidiyaje
2025-03-26 15:42:09
1
mpabukarashidi_
Rayan M :
Sasa mtu anaekunywa maji mengi wakati wa usiku lazima ukojoe sana,, sielewi
2025-03-23 08:02:24
0
k_a_r_u_h_u_l_a
Mr Michael :
mkonyo
2025-04-04 21:40:48
1
81992622daniel
81992622daniel :
jambo ndugu, mimi nipo, na ishi Drc ,nita fanya lipi kuhusu nipate tiba?
2025-03-26 16:35:30
1
sadesh1344
sadesh :
niko kenya mjini malindi, nahitaji hii dawa.
2025-04-05 05:16:56
1
chamaumma3
mamaummy :
unashtua wewe
2025-04-06 12:21:41
1
allen.msuya.d
Allen Msuya D, :
sababu za kukojoa damu sio tezi dume tu,magonjwa ya zinaaa na nk unaongea kwa kitishia watu acha izo www
2025-04-17 15:34:38
1
herera395
Mido 10. H :
ww mwnyew mgonjwa apo hujujui tu
2025-04-04 18:48:38
1
user1461161909691
shuttle the Don :
Nikusikiliza kwa umakini sana nimegundua mm sihusiki
2025-04-03 17:13:49
1
godsonokuusi
godsonokuusi :
nataka
2025-03-25 07:08:20
1
sammy.ngugi38
Sammy Ngugi :
❤️❤️❤️
2025-04-03 20:17:11
1
dicktheventure
Tik Toker DICK THE VENTURE :
mmmh na mm mnywa bea
2025-03-20 20:05:33
1
kuetmbabety
Kalonda Étienne :
101
2025-03-21 09:49:53
2
petrokilas
Petrokilas :
hata mm nina shida hiyo bosi
2025-03-20 19:39:13
2
hininga2
Arafat :
msaada wa mawasiliano maana Nina nzee wangu anatatozo hilo
2025-03-20 19:24:00
2
babatii12
Khatib :
Dunia ya bishashara wanatafuta kila sababu ukanunue dawa
2025-03-20 18:16:05
2
user3154065448140
user3154065448143 :
Niko kenya utanizaidiaje
2025-03-24 17:19:44
2
levisotienodieto
levisotienodieto :
kukojowa mara kwa mara sio lasima hiwe na restidume maybe you have high blood pressure or kidney problems or you drink to much water at night
2025-03-21 03:34:17
2
deskopiano
CHA FUJØ 4✊🔞 :
mkonyo wako ndo nn babu😂😂
2025-03-24 22:02:23
1
user5667105005970
user5667105005970 :
nitumie namba
2025-03-22 19:12:13
1
bazooka.122
bazooka :
Mimi nakojia mara nyingi sanaa wakati wa ucku.je ushauri au msaada wako
2025-03-20 13:43:24
1
phanuelissack
Phanuel Issack :
usitake kupata pesa kiulaini kwa kutisha watu na kujifanya unatibu mwizi wa akili za watu🤣
2025-03-25 05:32:10
1
1kara111
Aqua Man Aquarium Tanzania :
dalili ya nne imenipa uhakika kua sina tezi dume niko sawa🤣
2025-03-25 18:52:48
1
simplechidy
mother-T :
mwanangu .yukohivyo .alifungwa .jela.miyaka..mitatu..akitoka..yukohivyo
2025-03-25 19:41:05
1
celestinbyamungu
Celestin Byamungu :
kwangu unapatiya sana
2025-03-26 15:40:59
1
kifutumo.george
Kifutumo George :
dawa gani
2025-03-24 16:09:24
1
kitutemoise0
pasteur moïse :
wanaume
2025-03-28 05:24:00
1
user2224490658804
Ninziza oli :
okay
2025-03-28 17:25:51
1
user3748853037405
user3748853037405 :
shida niko nayo ni kukojoa mama kwa mara vp tapata tiba
2025-03-29 14:43:28
1
augustinobeatus
agostino :
🥰
2025-03-29 16:48:22
1
bakari.fakih8
Bakari Fakih :
nataka no yako
2025-03-24 05:57:00
1
www.tiktok.comgmkiboko
GM KIBOKO AUTO SPARE PARTS :
wauza dawa hao
2025-03-24 15:19:40
1
jacksonboymtz
j@ngo boy top of the line :
lets die young or let live forever we dont have the power but we never say never sit in the sand pit life is the short trip..
2025-03-24 13:39:56
1
user3167406332804
user3167406332804 :
kaka korodan moja imeongezeka kinyama kwa juu iyo ni nini
2025-03-24 13:26:37
1
savannablu1
savannablu338 :
nipe no.sim tuwasiliane
2025-03-24 08:56:10
1
savannablu1
savannablu338 :
mimi dalili ya kwanza ninayo kukojoa mara kwa mara usiku pili nashindwa kumaliza mkojo 3 mkojo hauna kasi nifanyaje
2025-03-24 08:43:55
1
savannablu1
savannablu338 :
shukran sana
2025-03-24 08:41:48
1
mainawakaria
mainawakaria :
🥰🥰🥰
2025-03-24 08:38:55
1
emilengoy43
Emile NGOY :
jambo mtaalam. Namba yako ya whatsapp ni gani ?
2025-03-24 07:22:23
1
user716941190745
user716941190745 :
wapi no yako
2025-03-24 20:36:19
1
user2392207238705
bilioner msuya :
follow back
2025-03-24 04:51:49
1
paul.favoured
P.Favoured :
infections nazo
2025-03-24 15:45:42
1
thomasmurungatkm
Tkm :
unapatikana aje na wapi?
2025-03-23 17:54:22
1
suleimansaid913
Suleiman Said913 :
mimi pia
2025-03-23 17:25:12
1
bertin_bbm
Bertin BBM :
mimi Niko Drc . bunia.nima lazima ya tiba
2025-03-23 17:02:17
1
tony.m733
Tony M :
hapo kwa kukojoa mara nyingi nathani poa ni mwili kukosa kuvuta maji kwa cells.
2025-04-01 12:04:48
1
endesha.mwugusi
Endesha Mwugusi :
🥰
2025-03-24 16:45:37
1
user56816755147467
kana ka ngai :
unapatikana. wapi? tupe. nambari. pls
2025-03-24 19:36:22
1
godsonokuusi
godsonokuusi :
iko wapi
2025-03-21 02:22:38
1
user0753038964
[email protected] :
Mm nakojoa sana mkojo unaprwsha na kojoq wakati wote
2025-03-21 01:19:47
1
user3603008618272
makinda :
mkojowangu, auna plesha naa aushikwa wakati, je? niniio
2025-03-20 23:09:05
1
To see more videos from user @hekima1012, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About