@swedensweetheart: MAKANGE YA KUKU WA KIENYEJI RECIPE ❤️ #tiktok🇹🇿🇰🇪🇩🇪🇧🇪🇧🇯🇦🇼🇧🇧🇨🇩 #tiktoklive #fyp #1millionviews #cooking #kitchen #FoodLover #kenyantiktok🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #tiktokshop #foryou #views #viral_video #foryoupage❤️❤️ #tiktoktanzania🇹🇿 #trendingtiktok #viral
Amazing Couple 💖(Suma & Ray)
Region: SE
Friday 21 March 2025 13:41:08 GMT
Music
Download
Comments
lenatta :
hivi kumbe paprika ni mihoho khaaa! na uzee wote huu sijuwag 🤣🤣🤣🤣
2025-03-26 13:13:20
15
namidhighi :
Mashaallah iddy nawapikia wanangu
2025-03-29 10:08:52
2
suzyrich279.worshiprayerleader :
shukuru upo mbali na nchi, ninge hakikisha napajua nyumban kwako nije kujifunza kwa vitendo mngoni mimi😊
2025-03-27 21:43:49
0
Meme 🕊️ :
Sio kwa ubaya ila mama mjengo anaongea kama anasoma habari 🤣😂🤣😅
2025-03-27 12:36:30
3
kateh :
my evil mind, first nimeskia makende ya kuku
2025-03-27 09:59:55
1
fammuyz✨ :
asante dad nmeyapatia kuyapik nashukuru kw mafunzo yako
2025-03-23 21:51:04
3
Asia bakar :
kilelen unajua nimewaza nn🤣🤣
2025-04-08 14:59:27
2
S :
Mama mjengo ningekua nafanya kazi za ndani kwako nisingeondoka alafu ningekua mtoto mtiifu sana nisingependa kukuuzi sio kwa masotojo ayo mashallah
2025-03-21 18:23:30
5
Ummu Haajra💞 :
yamefika kweli kileleni
2025-03-21 14:33:37
2
Tanga girl :
mama mjengo nakupenda ww ni msaf alaf mstaarab love u dada
2025-03-22 21:07:58
2
scolabulugu :
Unaweza,hongera sana!!
2025-03-21 13:46:45
1
HAPPY_C :
Naweza Pata wapi Hilo jiko madam nimelipenda
2025-06-09 14:01:46
1
winnie food point :
Asante sana mama mjengo
2025-04-14 12:07:16
2
Mother of 3J :
dada samahani izo hoho huwa siyo chungu ni swali yu dada
2025-03-21 16:00:08
0
moureen162 :
yamefika kileleni
2025-03-23 18:23:04
0
official G :
yamefika wapi??????
2025-03-23 22:08:59
1
reywangu :
wengine wanatia michuzi😌😌 nyie kupika kazi sana
2025-04-03 13:22:06
2
HAWA GADI :
unajua kupika, alafu ni msafi sana, hongera.
2025-04-16 10:14:27
1
Zulfa Miraj @951 :
Yarrabi udende wangu Mimi jmn daaah 🙌 napika ila Kuna waposhi plus plus mashallah hongera jmn sikuwa nimekufollow ila napenda clip zako 🥰
2025-03-21 14:38:22
1
https://vm.tiktok.com/ZMrGQnuN :
mbonayamekauka sana hayana hata lojo
2025-03-24 08:14:55
1
رحمه عليه :
Ma sha Allah 🥰🥰🥰
2025-03-21 14:07:06
1
clinton :
pili hoho ndo paprika😳
2025-03-24 15:03:07
1
848585 :
wow
2025-04-12 13:39:08
1
Manka's simple meals :
hapo kileleni sasa😂😂😂
2025-10-03 06:31:15
0
Mama Cathe :
nakupenda sasn my dear kupidia mafundisho yako nimejifunza vitu vingi kwel
2025-03-23 14:38:37
0
To see more videos from user @swedensweetheart, please go to the Tikwm
homepage.