Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
API
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@shairuuuggghhh: 24th 🪷🫶🎂 #digitalcamera #sonycybershot
❦
Open In TikTok:
Region: PH
Saturday 22 March 2025 02:47:17 GMT
7560
257
4
1
Music
Download
No Watermark .mp4 (
0MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
0MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
Callix shop :
💕💕💕
2026-09-09 14:47:21
0
Youhg :
I love you bebiko! Happy birthday i miss you 😘 🎂✨
2025-03-22 03:13:28
0
To see more videos from user @shairuuuggghhh, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
Mchekeshaji asmah ambae pia ni bff wa mama chanja ametumia ukurasa wake wa instagram kumtia moyo rafiki yake huyo kufwatia skendi zinazo muandama kuwa ana toka na mtoto wake remmy alie msaidia kutoka hali duni ya maisha na kuamuwa kumsaidia kama jinsi mtu mwingine anavyoweza kufanya. Asmah ameandika kuwa simba huwa hapotezi ufale kwasababu ya fisi wamekusanyika kwenye msitu wake na kuamua kumsema vibaya,lakinin pia amesema kuwa ujumbe huu si tu rafiki yake bali hata kwa watu wengine wanao usoma. ""hey sis🥰🥰 @mama____chanja simba hapotezi ufalme wake kwa sababu fisi wamekusanyika msituni na kuamua kumsema vibaya. 🦁👑 kuna watu ambao wakishindwa kufikia kiwango chako, hujaribu kushusha jina lako ili wajione wako juu. wanasahau kwamba uchafu unaotupwa kwenye mti wenye matunda ni ishara ya kushindwa kuyafikia matunda yake. wazee wa zamani walitufundisha kwamba mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe. lakini jiulize: je, mawe yanaweza kuzuia mti kuzaa? hapana! yanaweza kuumiza gome, lakini hayawezi kufuta mizizi yake. @mama____chanja usitumie siku zako kujibizana na kila ulimi unaotamka jina lako. tai hapigani na kunguru ili kuthibitisha kwamba anaweza kuruka juu; huinuka anga na kuwaacha chini wale wanaopenda kelele kuliko safari. 🦅 na kwa wale wanaofikiri kuchafua jina la mtu ni ushindi, sikilizeni fumbo hili: mtu akichafua maji ya mto, yeye ndiye anayebaki na kiu wakati wenye hekima wanatafuta chemchemi nyingine. kuna tofauti kubwa kati ya mtu anayejenga maisha yake na mtu anayejenga simulizi kuhusu maisha ya wengine. wa kwanza ana kesho ya kuilinda; wa pili ana muda mwingi wa kupoteza. rafiki yako nilitupiwa kila aina ya taka taka kila aina ya neno ukikaa kuna hili ukiinuka kuna lile ukiamka kuna hili ila why haina haja kwangu haikunisaidi ndo tayari ishasemwa nitatoka kuaminisha wangapi kuwa sio kweli? msemo wa hekima yangu ni huu: usipoteze maana yako kwa sababu ya kelele za watu waliopoteza mwelekeo wao. muda ni hakimu asiyehitaji shahidi, na matendo ndio yatakayotoa ushahidi wa mwisho. kumbuka: si kila anayekucheka amekushinda, na si kila anayekusifu anakutakia mema. wengine wanacheka kwa sababu hawajui safari yako; wengine wanakusema kwa sababu hawana cha kuonyesha kuhusu safari zao wenyewe. maisha yanaendelea. heshima inajengwa. ukweli una nafasi yake. na sisi tunaendelea na safari yetu kama kawaida.. wenye akili watatafakari. wenye kelele wataendelea kupiga kelele. lakini safari haisimami! 🔥 i love you so much❤️❤️❤️❤️❤️ @mama____chanja"" ameandika asmah Toa maoni yako #onevisiontv🇹🇿
#OHOCEANDLC #OnceHuman
ucap teman ku yg ingin terbang tnpa pilot🚀😅 #clubcasablanca #masukberandafyp #bismilahfyp #dugam #fypppp #bengkulu #trend #terbangtanpapilot
El después😮💨 @maarta_diaz
About
Robot
API
Legal
Privacy Policy