hayo matumizi umenda tofauti kidogo inabidi use nifundishe
2025-04-07 19:15:31
3
@ōmārī_çēñtr👀 :
480 MNyaMa
2026-02-24 21:16:03
1
toolbox1111 :
hiyo c hujaelezea
2026-02-14 12:26:55
1
$$$$ :
unatiagia than inapohitaji gia inweka sprint hapo hapo ilipo gia ulioitia halaf itakapo kolea kutaka gia unatia ya kawaida ?
2025-09-05 18:22:18
2
shija :
nitumie namba
2025-12-31 14:35:14
1
it's vinny🚍🚛🇿🇲🇨🇩🇹🇿 :
Duuh mkuu Bonge la Darasa umeniokoa sana kwenye Scania
2025-08-15 17:06:19
1
Bwana kaka :
na jinsi ya kushuka
2025-12-17 11:53:05
1
Chikumba :
hapo kwenye 7 ndio Pana 8 na hapo unaposema Pana 8 sio ni 9 na 10
2026-02-24 13:35:25
1
Njoroge_254 :
mko wapi
2025-04-19 10:04:14
1
okey wilson :
broo naomba basi video ambayo unazipanga gear zote12 maana nataka kujua baada ya kuweka gear sprinter inabakia juu au??
2025-05-13 14:48:36
2
Mr Hongo :
kuanzia Sasa nitakua nakufuatilia Bro nimependa Darasa lako
2025-04-06 11:54:38
1
Og🤪 :
ukiweka gia namba moja ukapandisha sprinta ukikanyaga klachi inaingia namba mbili na gialiva inahama tundu?
2025-07-26 13:31:22
1
Razaki Akalaila :
Unapatikana wapi my broo
2025-06-10 17:29:41
1
Steven Ernest :
Samahani bro,nimeona wakati unapandisha sprinter umerudi free je ni lazima au pendekezo la dereva mwenyewe maana mi nilikuwa naendesha R420 Manual nilikuwa napandisha sprinter bila kurudi free
2025-03-22 13:26:41
1
DJ EMANUEL MR MISOND :
je usipo bonyeza sprinta gea una ingiza km kawaida au vipi🤝
2025-06-19 15:48:02
1
$$$$ :
ukitaka kuitia sprint lazm uwe nutro
2025-09-05 08:15:13
1
toolbox1111 :
na hapo kwenye gear "c" inatumikaje
2026-02-14 11:50:58
1
#DADY# #TARIQ👶# :
ckupingi japo me dereva bajaji unaelekeza vizur xana god bless you
2025-03-23 07:39:10
1
Djsdytz :
broo napenda sana hizo kazi nifundishe chuma na Mimi
2025-05-12 15:44:00
1
__momilly# :
bro tuletee na Mercedes benz series yakee
2025-05-17 10:25:33
1
Buchumi :
Mkuu nmeona umeanza gear namba 1 hukupandisha sprinter,kisha ukaenda gear namba2,je ni sawa gear namba1 bila kupandisha sprinter?
2025-04-26 00:43:51
1
Japhet Lulinga :
Samahani mwl, hivi maana ya gari kuwa na gia nyingi inasaidia nini? yaani gari inakuwa na uwezo wa kukimbia sana au? ufafanuzi tafadhari!
2025-05-04 10:22:09
1
Fahmin Fahad :
ssa kaka kuhus kutoa 3 kwnda 4 mpka 6 haina haja ya kupandisha high button maana kweny scania gear 8 ukifika 4 kwnda 5 lazma upandshe high button
2025-04-24 11:08:31
1
To see more videos from user @mjomba_miyayusho, please go to the Tikwm
homepage.