@vinhomes__: #🇹🇿 #makemefamous #creatorsearchinsights #relatable #tiktoktanzania #fypp #foryou #🔥 #viral #goviral #viptrends #videoviral #foru #newtrend #winga

vinhomes_
vinhomes_
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 22 March 2025 15:12:52 GMT
59487
1283
151
42

Music

Download

Comments

esterluxurytouch
Esterluxurytouch.boutique :
Uwinga ni kazi kama kazi zingine nilianza kuwinga sahizi nina maduka yangu mawili 🙏 na bado na Winga kweli Winga ni tajiri wa baadae🥰
2026-05-16 22:18:07
2
mekant1
Mekant Used Items✅ :
Kigezo cha kuwa Winga N kipi Naomba nafas
2025-03-25 16:32:42
3
broka_genius
Broka Discount Center :
nikiwa kama winga pro umeeleza Vizuri kikao cha mawinga tutakukaribisha uwe mgeni rasimi
2025-03-25 19:13:57
6
meja_005
Montana_ :
Tunajivunia Mawinga
2025-03-22 19:05:40
4
muholezamuhashajo
John liva :
winga yeye analipwa je ???
2025-05-01 16:04:54
0
comradehd
COMRADE HD :
Ikangalombo
2025-03-28 12:23:09
0
avirah
Avirah Mwaikusa :
nakupenda
2025-03-23 14:15:50
2
johnsonjohn566
Johnson's :
wing ni abduli mbon
2025-03-26 08:09:50
2
muhibu.said0
Muhibu Said :
winga ni pesa yako tu ukiwa na pesa kila inakopatikana bizaa utapajua..
2025-03-26 15:14:23
1
rasdaddy_dreadlocks
Ras daddy Dreadlocks :
mteja na tajiri au mteja na muuzaji.. ?? yani wauzaji wa bidhaa ni matajiri ?🤣 luga nani hii.. mi najua tajiri ni mteja, hawo wauzaj wao ni wauzaji tu hta awe anamiliki duka kubwa vip yy ni muuzaj
2025-03-27 07:04:19
1
slide_zone_tz
slide_zone_tz :
Kama wewe ni winga Mwanga like hapa
2025-03-26 05:01:35
14
frankmtupili01
frankmtupili :
wingaaa oyeeeeeee
2025-03-27 09:30:25
6
christopher.kayer
Christopher Kayera :
Hata ww inaonekana ulikuwa Winga siyooo😂😂😂😂
2025-03-26 08:08:14
5
dncmovado
Movado :
yoyote anaemzarau winga basi apigwe mawe hadi afe😂
2025-03-26 13:25:09
2
dennymo25
Dennymo :
Ujue kuongea na mteja tu Yan kumshawishi
2025-03-26 15:00:04
2
ishercollection44
official-lesha🦋 :
Asante dada😂
2025-03-26 15:00:12
2
yanga_friends_forever
yanga_friends_forever :
mbona umesahau kusema kuwa wanatupiga sana mpaka kupitiliza sasa mawinga hao
2025-03-26 15:01:49
2
allyaucho
aucho_bill :
Rais wa Mawinga
2025-03-26 09:40:22
2
mwombeki8
WU JULAN TZ :
Bora umetutetea mawinga😀😀
2025-03-26 07:29:29
2
mercy_trending_codes
mercy_trending_codes :
Raisi wa mawinga 🙏😁😁
2025-03-22 18:29:54
2
ramadhani.kizungu
nangoo :
dada uko wp nije nipate japo kajinz kamoja umetupamba sn
2025-03-31 18:28:06
2
kellykana_clothes_dsplay
@kellykana_Clothes_Displays :
🥰🥰🥰
2025-03-23 04:59:24
2
queenthebosslady
Gladness :
😂😂😂Jipepee raisi wa mawinga
2025-03-23 05:24:41
2
user6923748186782
Fatma Collection🧣 :
inshallah 🙏
2025-03-29 11:58:30
1
malasemathayo
@Mapesa smart fashion :
Sisi natajiri wa baadae mmi na wewe winga mwenzangu winga mwenye duka lake kariakoo 👍👍🫡🫡🫡
2025-03-22 18:28:44
1
humble_store2
@# :
kwani Kunanini😂
2025-03-26 15:33:28
1
user4846706185823
ALEX 21🚀 :
Winga nayemjua mimi max nzengeli hao wezi wengine cwatambui😏
2025-03-26 17:06:11
1
salminmkanya
Salmin Mkanya :
hapo ndio mteja anapokutana na kitu kizito usoni yan unapigwa ukiona huyu mtu wa katikat ni hatar kwa maisha yako mnunuzi
2025-03-26 17:32:29
1
freenation2061
Dundo.OG :
jeans linauzwa 18k yeye anasema 25k😅😅😅
2025-03-27 09:54:33
1
allysb_
ALLY SB🌍 :
😂😂😂
2025-03-29 11:35:05
1
songoro08
songoro :
kwa hiyo hutaki kutoa jashu sio sasa gwanzu imehamia ubugo tuone kam winga atatudalalia tena si kwa ubaya lakin dada angu naomba kazi ni nja tu inanisumbua kweli sina mchongo wowte
2025-03-27 09:18:16
1
kaspeshowolfgang47
tanzanite_wolfgangmchaga 💱💰 :
mwenyekiti 😂😂nimekubamba wansi agenii💝😍
2025-03-27 09:26:06
1
venance.36
venance :
Winga ukiwa na simu nzuri na ukajua machombo hatq kwmqv mteja ni jeuri mbona atakuwa mpole kama mwizi alie shikiwa panga🤣🤣🤣 mawinga wenzangu love
2025-03-28 12:59:11
1
eybrawhite.27
Eybrawhite 27 :
Asante dada umetuheshimisha
2025-03-27 16:09:34
1
ngusagraphix
Ngusa Graphix :
Ma winga🔥
2025-03-27 14:26:44
1
mary.mihayo96
mary mihayo :
Mm nipenda blause yako tu 🥰
2025-03-27 09:32:18
1
peterfashion5
peter fashion5 :
🔥🔥🔥🔥
2025-03-27 11:40:24
1
alfa.mgogo.barber
Alfa Mgogo Barbershop :
fika k/koo kule mchikichini telemka mkono wa kushoto bindeni kwenye nguonguo ndo utakutana na maana ya winga🙌 wee kama mteja usipochukia nipo hapa 🫵
2025-03-27 10:29:38
1
kambas.group
Kambas Group :
yaaani kumaanisha yeyw na kishoka dugu moja
2025-03-26 13:21:07
1
officiallizzy22
blessed_soul💚✨💫 :
🙏🥰
2025-03-22 18:18:26
1
machinga__electronics
Machinga__electronics :
Winga ni zaidi ya kazi 🔥🔥🔥
2025-03-22 21:49:28
1
corner_8
Sendo_kitonga 🇹🇿 :
Winga ni kiungo mchezaji kwenye kuzingatia Ganji 😜
2025-03-23 11:44:35
1
jmatty_001
Bryan Mathias :
sawa winga mwenzangu
2025-03-23 15:22:55
1
lildaniel077
RealDaniel07 :
umetisha mawinga like apa
2025-03-24 11:45:19
1
mbakimwakifwamba
akilinamoyo :
thanks dada huwz amin my life naona yanabadilikaa 🙏🙏
2025-03-24 15:29:59
1
fundismart_items
Fundi Smart Items :
dada unajitambua sana,duniani mpo wachache mno🌹
2025-03-24 18:03:25
1
kevinstoretz
kevinstoretz :
🥰🥰🥰
2025-03-24 18:44:46
1
david_outfits_tz
David_Outfits_Tz :
🥰🥰👊🏻
2025-03-25 12:25:53
1
jerrystore_tz
JerryStore :
winga ni Mchezaji namba 7 na 11😥😥😥
2025-03-25 14:08:17
1
kier2256
Kier :
@Joy🤭 Tajir wa baadae😂😂😂
2025-03-25 17:30:56
1
bigmamaa90
bigmamaa :
🥰🥰🥰
2025-03-26 06:30:33
1
To see more videos from user @vinhomes__, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About