ila hiyo mitaa nikikumbuka tulikuwaga tunasuka ugomvi shuleni halafu tunaenda uwanja wa Mzee ndege kupigana ila utoto jaman🤣🤣🤣🙌🙌 tuliosoma kitangiri primary wataelewa
2025-03-24 12:57:41
13
Galtoto :
Kwenye chips “TOROKA UJE’’ 😂😂 zilikua tamu sana
2025-03-24 22:06:44
4
Rahafbby :
ila mwanza nyie nilienda huko kitangiri ndo mgeni mwanza watu wanaishi juu ya majabal,mtu anakuelekeza location anakuona ila yy humuon yupo juu nilichoka😂😂 🥰
2025-04-30 15:36:15
1
priscara official :
aaah 2kianza na kona ya jeshi kuelekea madukani
2025-05-26 18:30:43
1
black queen 👸 :
Aya wanangu wa mabufa tujuanee 😂😂😂
2025-03-25 09:47:14
4
Key Boy :
wow
2025-03-27 20:46:06
1
uncle faraja🐴 :
daaa, zamani sna nimetoka hapo nimehama nikiwa latano 2006🤣
2025-03-25 21:14:26
2
Diana Chales :
Yaani apo ndio hom kwetu apo sikoni
2025-03-24 09:52:27
2
Rola boy majengo :
broo unaniliza nimekulia hapo hapo brooo😭😭😭😭
2025-04-15 07:20:33
1
gracious 🦋 :
mitaa yetu😊
2025-04-16 09:38:56
1
eshabright :
nasubili isamilio mwanza
2025-04-24 07:23:45
1
Jackline Godfrey :
Naomba busweru kaka🙏
2025-03-25 10:51:23
2
Silyvin Pilot :
WATU WA IGOMBE WANASEMA ET WAMETENGWA😂
2025-03-25 04:11:35
2
user48551145792815 :
Jamanii chipc za torokaa ujee uwiiiii
2025-04-17 18:43:18
1
hurnaida g tz :
wat wot walio som shule ya sec kitangir gong like hap
2025-03-28 11:23:44
2
DA MZURI ❤️ ❣️ ❤️ 😍 :
niko apa
2025-05-04 16:03:05
1
crownedheart_xo🫂❤ :
ungesogea mbela karb na kanisa pale nipaone na kwtu😅
2025-04-16 10:50:44
1
Zuhu76 :
walah palikiw ni🔥🔥🔥
2025-04-13 14:08:03
1
it's Evaa🌠 :
nipo karibu na matako baar nauza vitu karibu sana
2025-03-28 18:15:15
1
Happynesi Jackson :
duh nimepamic kwel
2025-03-27 09:26:55
1
Eunice🌹❤️ :
kitangiri yetu
2025-03-24 17:24:42
2
She’s Dee❤️ :
Mimi naomba uende ma tank mawili boss😂🙏(Idala ya maji)
2025-03-24 17:00:32
2
Scola Octavian :
jamn fanyen na ya kirumba
2025-03-26 18:38:31
1
mamj :
zam ya wakirumba sasa🤗
2025-03-24 17:53:28
2
lambele kashindi :
kwetu
2025-03-25 06:17:25
1
To see more videos from user @mwanza.view, please go to the Tikwm
homepage.