@fitnessempiretz: SAFNU X5 ni machine Bora yenye sehemu pana ya kufanyia mazoezi . Inabeba mpaka mtu wa 150kg Inasoma Steps, inakwenda Speed mpaka 16km/hr Ina massage na incline Ina absorption support bord kulinda maumivu ya magoti wakati wa mazoezi kutokana na uzito au maradhi mbali mbali Ina sehemu ya kufanyia mazoezi ya tumbo Ipo kwenye offer ya wiki hii kutoka 2,800,000 utaipata kwa 2,490,000 Tupigie 0718327776 0758728258