yeyote anae bishia haya afanyeutafiti akakope harafu aone ndio atajua kuwa nikweli sio akarie ubishitu
2025-04-10 09:18:08
1
Joyce Wambo :
true
2025-05-24 07:27:09
0
JACKYZEROH :
wakuu hii ni ya kutorudisha ela yupo na mtaani kwet juzi kataifisha nyumba ya50m kwa kumkopesha mtu 2m uyu na nabii anaongea vitu kweli nahisi ana kitu tuzidi mzingatia
2025-03-25 20:02:14
4
Aniceth Anthony :
mim nilikopa mkopo wa laki 7 ila umeshanitesa Sina hamu
2025-04-23 17:58:39
1
Bayub Jean :
anayekupinga ni mdogo bado
2025-04-26 07:03:03
1
Christopher Moses :
washamba hawawez kuelewa
2025-09-15 11:06:43
0
Mama Africa Designe👗🛍️💕🇹🇿 :
watu ni wachawi msipende kukurupukia pesa zao mtalia mnoo😂😂
2025-03-26 05:21:12
3
maxie :
ukweli kabisaaa
2025-09-16 21:07:14
0
tina022 :
Mwaka huu tutajua mengi
2025-03-27 08:43:25
1
CHRIS BRAND :
Wakomoro tukohapa
2025-03-25 10:52:55
2
Nakowe66@cars🚘🚘🚘 :
yaani tunashindwa kumuelewa tu huyu jamaa
2025-07-14 00:04:06
0
claver,km.20(réveillé vous) :
aksanti sana baba mungu aku bariki ihi nisiri za africa kweli🇨🇩
2025-05-24 11:11:20
0
javiannah viso :
iyo ni kweli
2025-04-18 06:20:04
0
Official Gifted :
Fact ✍️
2025-05-02 08:10:04
0
peter :
Leo umegusa watu wenge sana
2025-03-25 18:47:55
0
M N Z 🇰🇪 :
kweli 😎😎😎
2025-04-10 19:36:32
0
Alex :
Amina baba 🙌
2026-04-01 18:58:30
0
bukta89 :
Wacha ku haribu majina ya ma shehe
2025-03-26 18:53:30
0
Arsène Masimengo :
na kuku bali
2025-03-26 10:54:20
0
Izzy :
Ni kwl kbx
2025-03-28 06:26:16
0
Dorrytherealhustler2 :
nimekumbuka mbali sana mwaka 2019 nishawai kulipa deni la laki tatu miezi tisa yani kila mwezi ela inazaa naishia kupeleka liba siyo kila ela ya kukopa walai ila yule mzee
2025-03-28 09:36:05
0
romeomikatho :
🙏
2025-03-25 14:43:31
1
To see more videos from user @prophetipm, please go to the Tikwm
homepage.