@trendsetters001: Luka 10:19 (SRUV) "Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru." Song: Umenifanya Ibada - Glorious Band Sang by: @dr_sarahkmusic (Instagram) #jesus #swahili #gospel