@chrislundatz: Nani nimwite Mara tatu then nimwimbie kwa jina lake #rwandatiktok🇷🇼 #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokkenya🇰🇪 #hamisamobetto

Chris Lunda
Chris Lunda
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 26 March 2025 17:09:18 GMT
643067
38652
1090
1762

Music

Download

Comments

maggiedickies
Maggie dickies :
hii saut isikufanye uingie kweny mapenzi ambayo hupendwi 😆😆😆
2025-03-26 20:14:44
347
user2145440034205
detha💕 :
Ogopa Mwanaume Mrefu mweusi na Mwenye Ndevu😂
2025-03-27 06:15:53
141
qford96
qford96 :
so sweet 😋
2025-05-10 08:49:53
0
drummerticgenius
drummer wizzy Babylon :
beseni la kuegeshea mtoto laki moja sasa we jifanye una jini mahaba
2025-03-27 10:01:31
22
happiehatratra
Happie💞 :
Huyu mbona kama ndo yule aliimba kwenye engagement ya mobetto🥰🥰🥰
2025-03-27 05:16:51
39
jolie34235
jolie34 :
Chris nina mimba yako
2025-03-26 21:39:35
7
jackieesamwel
Jackie samwel💖 :
😂😂Ogopa black guy mrefu afu ana ndevu 🙌
2025-03-27 06:34:34
22
aggy80261
𝖆𝖌𝖌𝖎𝖊💫 :
Chris Chris Chris Chris nakuita mara nne ww n wangu
2025-03-26 18:30:22
42
reey667
Ree❤ :
ooh mashallah🥰
2025-04-29 17:46:30
0
lwizer
lwizer :
Utanifanya nikaolewe afu nitesekee
2025-03-26 22:24:59
21
paregal1
paregal :
kaitanieni uko mbali sio kwa simu yangu
2025-03-28 14:58:50
8
official.zuchu29
official zuchu :
toka pepo mkubwa ww unatak niende penzine utasubr sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-03-27 06:39:11
21
jojocomjh
genius📖 :
Tuwe makini huu niwimbo ila mayatima wa mapenzi tukae mbali 😒😒😒
2025-03-27 12:00:04
38
chris.melody.tz
Chris melody Tz :
unatisha
2025-06-02 18:17:23
0
user3615690819484suzy090
suzy09o last born :
Suzy or suzani
2025-03-26 20:08:18
4
daines.simon
daines simon :
nishakupenda swezi ishi bila wew chris
2025-03-28 10:26:25
3
jozee644
@jozee :
mimi naskia bibi kwan bibi ake kamfanya nini huyu😀😀😀
2025-03-27 13:33:18
4
datinna9
da tinna🤍🦋 :
babeee I'm here😂❤️
2025-03-26 22:02:19
2
brendaah_ke1
✨Brendaah✨ Ke ✨ :
umeenda kuita baby wako baharini sio 🙄😫😂😂ila 🔥🔥♥️♥️♥️
2025-03-26 22:55:25
6
user252192902308
@republicanproperty🇹🇿 :
Mtu akikuita mara tatu duh, ni hatari kuna tahadhari unapewa
2025-05-31 12:36:23
0
decute2528
debby2528 :
uwii mrefu mweusi😆😆 mapenzi yatawavunja shingo kwa hawa wakaka 😆😆
2025-03-28 10:07:08
3
babyczfnv6g
bibs charming :
mimi ushaniimba tayari 😂 kwaiyo inatosha 😘
2025-05-15 10:47:23
0
bam_official06
bam_official06 :
b am calling you❤ wewe ni wangu🥺❤
2025-04-06 17:20:55
1
callme__daisy3
D. A. I. S. Y🦋🍓 :
niite mimi niko serious akiiii
2025-07-03 03:42:28
0
malume.brand
mwajuma abedi :
unajua mwana,👊👊
2025-06-16 21:06:09
0
To see more videos from user @chrislundatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About